Uchaguzi 2020 Bado naona Lowassa wa 2015 ni bora kuliko Tundu Lissu wa 2020

Uchaguzi 2020 Bado naona Lowassa wa 2015 ni bora kuliko Tundu Lissu wa 2020

Huku kuchanganyikiwa

Badala yakuwalinganisha wanao pambana utoe maksi unalinganisha mchezaji na shabiki aliye jukwaani mchezaji wa zamani
TAL Atakuwa kamwaga petrol
Hakuna mgombea urais wa upinzani unaweza kumlinganisha na wa Chama Dola!
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Alijinyea eti ni kweli?huu ndo upinzani asilia wa TL.CCm oyee
 
Kama itakavyotokea Oct. 28, lkn kumbua lowasa vyama viliungana lkn lisu ni one party tu.
Ndio ujue hakuna tofauti hata akiwekwa Nabii Tito watu watampigia tu kura kama walivyompigia Lowassa ambaye alikuwa akiongea kwa dk 5 tu ila bado watu wakampa kura. Hili suala la kusema Tundu Lissu hivi mara vile,hakuna jipya yaleyale tu kama kawaida hata Dk Slaa alisifiwa sana tu.
 
Weeeeee.. usilinganishe hao watu wawili. Nchi nzima sasa ni Tundu Lissu tu. Hapa Watanzania wenzangu tunaenda na Lissu. Huyu Jiwe sasa akapumzike kwao Chato huko, aangalie uwanja wa ndege na mbuga ile. Atupishe tujenge nchi na Lissu wetu.
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Lowasa hakumtoa kamasi JPM 2015.

Lissu anamtoa kamasi vibaya sana JPM 2020 hadi kaomba poo (kaenda kupumzika hata kampeni mwezi bado!)
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Issue sio kuongea Sana, Lissu hata kama anaongea Sana ila 90% ni matusi na malalamiko tu na ukiangalia kwa makini hata mashabiki zake wako na same characters.Lowasa alikuwa smart Sana kuliko huyu, na hata nusu ya nyomi za lowasa huyu hajafikia mpaka sasa. Tanzania inahitaji mtu mwenye maono, mwenye kuongoza kwa mifano kufanya yasiyofanyika hapo kwanza, mtu mzalendo mwenye uchungu na taifa lake. Mtu huyo ni Magufuli pekee, kwenye ile orodha ya watia nia ya urais.
 
lissu anaongea vitu ambavyo hakutumwa na ilani
jana karopoka morogoro akichaguliwa atataifisha ardhi,mwanasheria hajui tofauti ya kutaifisha na kufuta miliki
 
lissu anaongea vitu ambavyo hakutumwa na ilani
jana karopoka morogoro akichaguliwa atataifisha ardhi,mwanasheria hajui tofauti ya kutaifisha na kufuta miliki
Kijani mmetoka wote kama mmetoka kufumaniwa [emoji3]
 
Lissu anapanda jukwaani anaanza kusimulia umbeya

Mara najua kingereza mara nini ilimradi blah blah

Inawezekana anagombea nafasi ambayo imamzidi uwezo
Kama hujui kiingereza siyo tatizo la Lisu, ni lako, kiingereza ni Lugha ambayo kwa Tanzania ndiyo tunafundishiwa masomo yote acha kiswahili. Kama wewe na Mwenyekiti wako hakipandi hayo yako.
By the way kwanini mikiambiwa kiingereza mna ng'aka sana - inauma? You can learn now, go google scholar, au nyie wenzetu internet ni pornography tu!!
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
We kichwa panzi, lowasa kipindi cha kampeni zake, alikuwa anatoa mabasi mawili mawili kila chuo kikuu waende kwenye mikutano yake....vijijini alituma mabasi.....

Sasa huwez kumfananisha na tundu lissu aliyenyimwa stahiki zake baada ya kumfurusha ubunge wake kwa kumuogopa

Ni mapenzi ya watu tu,

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Lowassa yule mgonjwa alieshindwa kuongea hata dakika 2 ?
N fact alipunguza kura kwa kuonekana wazi ni mgonjwa
Lissu ndio mpango wa Mungu ili tuirejeshe mchi kwenye mstari
 
lissu anaongea vitu ambavyo hakutumwa na ilani
jana karopoka morogoro akichaguliwa atataifisha ardhi,mwanasheria hajui tofauti ya kutaifisha na kufuta miliki
Kama huna elimu ya sheria kaa kimya! Hizo shule zenu za Nyang'oro hizo msituletee hapa. Hivi unajua ilani ni nini? Au sera, mnalalamika kiingereza, hata kiswahili hamjui. Wewe unataka ataifishe au afute miliki? Akitaifisha ina maana kafuta miliki. Ile ardhi anaichukua anaiweka kwenye hifadhi ya kumbukumbu za Taifa tayari kwa kupewa mtu mwingine. Mjinga wewe!!
 
Back
Top Bottom