Uchaguzi 2020 Bado naona Lowassa wa 2015 ni bora kuliko Tundu Lissu wa 2020

Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Unatafuta matusi wewe
 
Lissu hadi waliokuwa CCM huku mtaani kwetu wanaenda kumpa kura 28/10
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!! 😀 😀 😀
 
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.

Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.

Maendeleo hayana vyama!
Uko sahihi kutokana na Ukubwa wa Upumbavu wako
 
TL ndo kiboko yao we angalia tu anavyowekewa vigingi...haijapata kutokea nchini tz tangu kuanza mfumo wa vyama vingi taarifa za mgombea urais kuminywa na vyombo vya habari kama ifanyikavyo sasa dhidi ya TL!!!.
 
Mikutano ya Lowassa ilikuwa mtu unaenda una mzuka lakini unarudi ukiwa disappointed maana hakuwa akizungumza kitu kinachoeleweka..Ila kwa Lissu ukienda lazima urudi nyumbani ukiwa na upako
 
Back
Top Bottom