citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Unatafuta matusi weweKwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
ahahahaaaaaUsituondoe kwenye mstari Bwashee, kama Lowassa ni muhimu kwanini hamkumpa fomu?!
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!! π π πKwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Uko sahihi kutokana na Ukubwa wa Upumbavu wakoKwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!