Mayanga construction company.Mimi ni muungaji mkono wa mheshimiwa katika yote anayoyafanya ila hili daraja la busisi nimeishiwa na nguvu kabisa
Daraja linajengwa kwa bilioni 700[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Hiyo ni pesa ndefu sana sijui nisemeje trilioni kasoro..
JK alikula billion 600 za ESCROW. Ipi ni ipiMimi ni muungaji mkono wa mheshimiwa katika yote anayoyafanya ila hili daraja la busisi nimeishiwa na nguvu kabisa....
JK alikula billion 600 za ESCROW. Ipi ni ipi
Pia daraja linaweza kuvunjika. Sijui kama wanatumia ata teknolojia ya kukabiliana na majanga kama tetemeko la Ardhi!Si kila daraja lipo kwa ajili ya kupata faida. Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda, unapotumia feri wagonjwa wanachelewa kuvuka na kuhatarisha uhai/afya wao/zao.
JK alikula billion 600 za ESCROW. Ipi ni ipi
ENDELEA KUTHAMANISHA HIVYO VIVUKO NA ROHO ZA WATU. NDO AKILI YAKO ILIPOFIKIA...billioni 700.
..unaweza kutumia billion 100 kujenga vivuko 20, kila kimoja bilion 5.
..unaweza kutumia billion 100 kujenga veta 10, kila moja billion 10.
..halafu ukabakiwa na billion 500 za kutatua changamoto nyingine kama maji, masoko,etc.
SUBIRIENI HIZO PICHA KWAKUWA HAO WALIO LALA HAPO, HUNA JAMAA YAKO ATA MUMOJA, NDIO MAANA HELA ZINAKUUMA. TUULIZENI SISI WATUMIA VIVUKO HIVYO. WEWE UKO SINGIDA UNAFAHAM HOFU YA KUVUKA KUTUMIA VIVUKO?Hapa unataka kuaminisha Watu kuwa Serikali huwa inajali saaaaana Watu wake kumbe wapi ,kivuko kilicho zama na kuuwa Watu mlichukua hatua gani !?
Kuwahifadhi kwa heshima Ndugu zetu hamkuweza kufanya hivyo ,hilo Daraja tunajua ni Giza totoro ..👇👇View attachment 1572696
ENDELEA KUTHAMANISHA HIVYO VIVUKO NA ROHO ZA WATU. NDO AKILI YAKO ILIPOFIKIA.
Hovyo kabisaa.
Umekaririshwa, rudi darasani; chukua Atlas na usome kwa makini, hiyo ni Jiografia ya darasa la 5.Kwani unadhani watu wa kigoma na katavi wakiwa wanapitia wanakwenda Bugando unadhani wanapitia wapi km sio hapo hapo Darajani Busisi Otherwise wazunguke Tabora...Bugando ni km Muhimbili, kuna mwananyamala, Temeke, Mloganzila and the likes ila still watu wanajaa Muhimbili...Geita kuna hospitali kubwa Mpya ya rufaa ya Mkoa ila still watu wanakwenda Bungando...kifupi Bugando haikwepeki na hilo daraja halikwepeki...
Mkuu, unajua jiografia ya nchi yako vizuri kweli? Hizo sehemu nilizotaja, kwa kupitia hilo daraja ni mzunguko mrefu na ni ujinga kutoka Katavi na Kigoma kupitia daraja hilo, labda kwa minajili ya kutalii.Kweli ujinga ni mzigo, kwa hyo umeambiwa wagonjwa na watu wanaovuka hapo wanatoka Sengerema tu?
wewe ndo uliekaririshwa...Sio tu nimeitumia sana hio barabara na hivyo vivuko, nimeishi Geita...ww usiyoijua hio barabara ndo utafute Atlas...umeshindwa ht kutumia google Map unataka kutafta madaftari ya darasa la 5.Umekaririshwa, rudi darasani; chukua Atlas na usome kwa makini, hiyo ni Jiografia ya darasa la 5.
Vv
Kwa hiyo Kigoma, Katavi na Tabora hiyo ndio njia rahisi kwao kufika Mwanza au watalazimika ili wafanye utalii.wewe ndo uliekaririshwa...Sio tu nimeitumia sana hio barabara na hivyo vivuko, nimeishi Geita...ww usiyoijua hio barabara ndo utafute Atlas...umeshindwa ht kutumia google Map unataka kutafta madaftari ya darasa la 5.
Soma post yangu vzuri...i said km watu wa kigoma na katavi km hatawatutumia hicho kivuko Cha Busisi then alternative yao ni kupitia Tabora...and now niongezee alternative nyingine watumie ya Nyakanazi kahama(hapa wanaweza kurudi tena Geita,Sengerema,busisi then Mwanza) or waendele shinyanga then Mwanza...of which bado ni mbali ukilinganisha na kupitia Geita, Busisi then Mwanza...Kwa hiyo Kigoma, Katavi na Tabora hiyo ndio njia rahisi kwao kufika Mwanza au watalazimika ili wafanye utalii.
Vv
Mngemtukana pia kwamba amejenga kigongo feri hospitali wanadamu hawana jemaKwa hiyo hela ungeweza kununua feri zaidi ya mbili kama zile za kivukoni na kujenga hospitali kubwa kama Muhimbili kule kule Kigongo. Yani haiingii akilini hata kidogo.
Mayanga Construction Company Limited! Tenda nyumbani.
Hili pia ni swali linalojitegemea..... Ngoja gerson msigwa aje atuambieKwani uwanja wa bombardier pale chatou alijenga nani?