Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

Mimi ni muungaji mkono wa mheshimiwa katika yote anayoyafanya ila hili daraja la busisi nimeishiwa na nguvu kabisa

Daraja linajengwa kwa bilioni 700[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]

Hiyo ni pesa ndefu sana sijui nisemeje trilioni kasoro..
Mayanga construction company.
 
Si kila daraja lipo kwa ajili ya kupata faida. Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda, unapotumia feri wagonjwa wanachelewa kuvuka na kuhatarisha uhai/afya wao/zao.
Pia daraja linaweza kuvunjika. Sijui kama wanatumia ata teknolojia ya kukabiliana na majanga kama tetemeko la Ardhi!
 
Mzee wakati anahutubia mkutano wake Geita, anasema eti hilo daraja litawasaidia hata wanandoa kwenda kupigia picha baada ya harusi!!

Kazi kweli kweli.
 
..billioni 700.

..unaweza kutumia billion 100 kujenga vivuko 20, kila kimoja bilion 5.

..unaweza kutumia billion 100 kujenga veta 10, kila moja billion 10.

..halafu ukabakiwa na billion 500 za kutatua changamoto nyingine kama maji, masoko,etc.
ENDELEA KUTHAMANISHA HIVYO VIVUKO NA ROHO ZA WATU. NDO AKILI YAKO ILIPOFIKIA.
Hovyo kabisaa.
 
Hapa unataka kuaminisha Watu kuwa Serikali huwa inajali saaaaana Watu wake kumbe wapi ,kivuko kilicho zama na kuuwa Watu mlichukua hatua gani !?

Kuwahifadhi kwa heshima Ndugu zetu hamkuweza kufanya hivyo ,hilo Daraja tunajua ni Giza totoro ..👇👇View attachment 1572696
SUBIRIENI HIZO PICHA KWAKUWA HAO WALIO LALA HAPO, HUNA JAMAA YAKO ATA MUMOJA, NDIO MAANA HELA ZINAKUUMA. TUULIZENI SISI WATUMIA VIVUKO HIVYO. WEWE UKO SINGIDA UNAFAHAM HOFU YA KUVUKA KUTUMIA VIVUKO?
 
ENDELEA KUTHAMANISHA HIVYO VIVUKO NA ROHO ZA WATU. NDO AKILI YAKO ILIPOFIKIA.
Hovyo kabisaa.

..wanaochezea maisha yenu kwa kuwajaza kwenye vivuko chakavu na vibovu ni wana-ccm wenzenu.

..mimi nimependekeza vivuko vipya 20 na kila kimoja kikiwa ni cha kisasa chenye thamani ya billion 5.

..pia nimependekeza ujenzi wa vyuo vya veta 10, na kila chuo kiwe na thamani ya billion 10.

..zaidi nimependekeza billion 500 kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile maji, masoko, hospitali, etc.

..nyinyi mnadanganywa na mafisadi yanayotaka kupiga hizo billion 700 kuwajengea daraja moja huku mna changamoto nyingine nyingi zaidi ya hiyo ya kuchelewa na usumbufu ktk eneo la kigongo -- busisi.
 
Kwani unadhani watu wa kigoma na katavi wakiwa wanapitia wanakwenda Bugando unadhani wanapitia wapi km sio hapo hapo Darajani Busisi Otherwise wazunguke Tabora...Bugando ni km Muhimbili, kuna mwananyamala, Temeke, Mloganzila and the likes ila still watu wanajaa Muhimbili...Geita kuna hospitali kubwa Mpya ya rufaa ya Mkoa ila still watu wanakwenda Bungando...kifupi Bugando haikwepeki na hilo daraja halikwepeki...
Umekaririshwa, rudi darasani; chukua Atlas na usome kwa makini, hiyo ni Jiografia ya darasa la 5.

Vv
 
Kweli ujinga ni mzigo, kwa hyo umeambiwa wagonjwa na watu wanaovuka hapo wanatoka Sengerema tu?
Mkuu, unajua jiografia ya nchi yako vizuri kweli? Hizo sehemu nilizotaja, kwa kupitia hilo daraja ni mzunguko mrefu na ni ujinga kutoka Katavi na Kigoma kupitia daraja hilo, labda kwa minajili ya kutalii.

Vv
 
Umekaririshwa, rudi darasani; chukua Atlas na usome kwa makini, hiyo ni Jiografia ya darasa la 5.

Vv
wewe ndo uliekaririshwa...Sio tu nimeitumia sana hio barabara na hivyo vivuko, nimeishi Geita...ww usiyoijua hio barabara ndo utafute Atlas...umeshindwa ht kutumia google Map unataka kutafta madaftari ya darasa la 5.
 
wewe ndo uliekaririshwa...Sio tu nimeitumia sana hio barabara na hivyo vivuko, nimeishi Geita...ww usiyoijua hio barabara ndo utafute Atlas...umeshindwa ht kutumia google Map unataka kutafta madaftari ya darasa la 5.
Kwa hiyo Kigoma, Katavi na Tabora hiyo ndio njia rahisi kwao kufika Mwanza au watalazimika ili wafanye utalii.

Vv
 
Jiwe yupo kiten percent sana, wala hayupo katika kutatua matatizo ya wananchi kama wanavyotaka kulazimisha tuamini hivyo, angekuwa kweli yupo katika kusaidia wananchi asingepora hela za korosho, au rambirambi za wahanga, yeye anaangalia ni wapi kwenye mradi wenye ten percent kubwa, ndio anakwenda huko.
 
Kwa hiyo Kigoma, Katavi na Tabora hiyo ndio njia rahisi kwao kufika Mwanza au watalazimika ili wafanye utalii.

Vv
Soma post yangu vzuri...i said km watu wa kigoma na katavi km hatawatutumia hicho kivuko Cha Busisi then alternative yao ni kupitia Tabora...and now niongezee alternative nyingine watumie ya Nyakanazi kahama(hapa wanaweza kurudi tena Geita,Sengerema,busisi then Mwanza) or waendele shinyanga then Mwanza...of which bado ni mbali ukilinganisha na kupitia Geita, Busisi then Mwanza...
 
G Sam,

Kwanza kwa akili fupi daraja hujengwa mara 1 moja na halitumii mafuta wala kuzama, kitaalamu halina gharama zinazojirudia au recurrent expenses
 
Kwa hiyo hela ungeweza kununua feri zaidi ya mbili kama zile za kivukoni na kujenga hospitali kubwa kama Muhimbili kule kule Kigongo. Yani haiingii akilini hata kidogo.
Mngemtukana pia kwamba amejenga kigongo feri hospitali wanadamu hawana jema
 
Babu aliniambia ukifanya kitu kila MTU akakupinga endelea hicho kitu in kizuri. Babu huyo
 
Back
Top Bottom