Sasa ngoja hilo daraja likamilike uone watakaopita hapo kama watakuwa wengi kuzidi feri. Hivi unajua kurudisha bilioni 700 wewe! Hizo hela ni nyingi sana kwa kuelekeza kwenye mradi kama ule. Anyway ila Jiulize kwanini hata yeye Magufuli anahisi alifanya kitu kisicho na tija hadi anahimiza waharakishe ili Rais mwingine asije akaufuta huo mradi.Uhuru wa mawazo ni mzuri lakini kwa watu wa upande wa mwanza hii ni faida na inaokoa muda sana...kuvuka pale ferry ukikuta dude limetembea unasubiri muda mrefu Sana na like Kuna watu wengi mno na magari wanalata shida Sana tu sema ndio hivo tunaona shida ya mwenzio soup yako, yaani kwa umuhimu ni bora zaidi kuliko daraja la Kigamboni.
Bado usingekosa cha kusema pia kama hizo bil 700 zingetumika kujenga barabara kanda ya ziwa pekee tatizo lako naona sio daraja bali ni daraja kujengwa kanda ya ziwa ambako kwa akili yako unaamini halistihili kujengwa kwa hiyo hata barabara ungesema pia na sidhani kama ulishawahi kuitumia hiyo njia ungelikua umewahi kuitumia usingelalama hapa hilo daraja kujengwa.Ni kutupa fedha za maskini baharini. Bilioni 700 tungejenga barabara kilometer 700 kanda ya ziwa ingeunganishwa wilaya zote kwa barabara safi ya lami.
Suala siyo DARAJA,
je, KIPAUMBELE KWA ENEO LA KANDA YA ZIWA NI DARAJA?
Sasa ngoja hilo daraja likamilike uone watakaopita hapo kama watakuwa wengi kuzidi feri. Hivi unajua kurudisha bilioni 700 wewe! Hizo hela ni nyingi sana kwa kuelekeza kwenye mradi kama ule. Any way ila Jiulize kwanini hata yeye Magufuli anahisi alifanya kitu kisicho na tija hadi anahimiza waharakishe ili Rais mwingine asije akaufuta huo mradi.
Kanda kw asas ani kwa kila MkoaSi kila daraja lipo kwa ajili ya kupata faida. Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda, unapotumia feri wagonjwa wanachelewa kuvuka na kuhatarisha uhai/afya wao/zao.
Pia kivuko cha feri hakiaminiki si tu kwa usalama lakini pia hata utengemano si muda wote kitakuwa kizima.
Na inawezekana hata hata kwa mwaka usiwahi kupita kwenye njia hii.
NOTE: NIMEKUJIBU LAKINI NATAMBUA WAZI UPO MLENGO WA KUPINGA.
Kwa vile hilo daraja halipo uchaggani ndo maana anaponda. I bet siku zijazo watu watajua umuhimu wake. Safari za majini si za kuaminika. Mara ngapi hicho kivuko kinazima sababu ya magugu maji, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe.Watu wengi mnaojadili hili swala mnaweza msifahamu viashiria vya nchi kukua kiuchumi, au pia mnaweza msifahamu uhandisi ujenzi na faida zake, nafikiri pia mppaka mradi huo kuwa executed wataalamu wa kutosha wa kila nyanja walijumuishwa, sio mradi wa bahati mbaya au fikra za mtu mmoja.
Asante sana!Kwa vile hilo daraja halipo uchaggani ndo maana anaponda. I bet siku zijazo watu watajua umuhimu wake. Safari za majini si za kuaminika. Mara ngapi hicho kivuko kinazima sababu ya magugu maji, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe.
Kujenga daraja ni maendeleo. Ona sasa Kigamboni ilivyofunguka lakini wapuuzi akina BAK wanabeza kila kitu. Ona pale aghakhan hospital mambo shegga. Mijitu kila kitu inapinga tu hasa Tundu LissuAsante sana!
Ila Jiwe ni mpigaji sana, hivi ndiye alinunua kile kivuko kibovu?sasa hivi mmegeuka kuwa wachumi elekezi!
Mambo ya vivuko yameshapitwa na wakati basi tu hatuna jinsi
nchi haijengwi kwa maboksi,kupanga ni kuchagua brother