Kwanini hii chuki mnaiona nyie pekee?Nchi yenye chuki ya kiwango hiki haiwezi kudumu ni suala la muda tu we Chato yao watakuwa huru na sisi wa Mtemi Mkwawa tutakuwa na nchi yetu.
Nyie sifia sifia mnauzi sn. Vituo vya afya bila wahudumu bila madawa si ni km mabanda ya kufugia kuku tu?Haiwezekani kila mtu akawa anajipangia Cha kufanya ndio maana Kuna vipaombele vya kitaifa vinavyoratibiwa na wataalamu wa uchumi baada ya kufanyia utafiti mahitaji ya msingi ya wananchi.Kujenga viwanja ni upuuzi Kama huu tu wa madaraja.
Serikali umejenga vituo vya afya Kama 500 hivi umesikia nani anapinga? Sera ya afya ni kituo cha afya kila kata lakini Kuna zaidi ya kata 2000 hazina vituo vya afya hapo bado zahanati kila Kijiji nk
Hiyo pesa ingetisha vituo vya afya 120 kwa Bei ya serikali ya mln 500,huoni tungeendelea kupunguza tatizo?
Kwamba chadema hawana ofisi? Mbona viongozi wetu tunakutana nao ofisini? Umewahi kusikia mwananchi ameshindwa kuona na kiongozi wa Chadema eti kuna mahali hakuna ofisi. Hizo shida utazikuta CCM tu wanajifanya wana ofisi lkn hawawezi kuhudumia wananchi ndio maana watz hawataki kusikia hbr za CCM.Hii ndio sababu inayosababisha chadema isijenge ofisi?
Nmeona humu mnashangaa mi v8 inayotumika kwenye kampeni za mgombea wa ccm nikawaambia hata chadema ingekuwa na matumizi mazuri ya ruzuku mngekuwa na kama yale angalau ma 3.
Lakini ona aibu inyowakumba! Wagombea wenu huku mitaani njaa kali hata kufanya kampeni wanashindwa hawana pa kuanzia.
Hata ukiweka kiti chini ya mti hiyo ni ofisi,Kwamba chadema hawana ofisi? Mbona viongozi wetu tunakutana nao ofisini? Umewahi kusikia mwananchi ameshindwa kuona na kiongozi wa Chadema eti kuna mahali hakuna ofisi. Hizo shida utazikuta ccm tu wanajifanya wana ofisi lkn hawawezi kuhudumia wananchi ndio maana watz hawataki kusikia hbr za CCM.
Kwanza ccm hayo majengo ni kwa ajiri ya kujadiri kupiga diri za kifisadi km ununuzi wa ndege, majenzi ya Chato na uchafu mwingine wote sasa mnafaida gani kua na hizo ofisi ambazo ni mali ya umma.
Mbovu kulinganisha na zipi?We jamaa unaakili mbovu sn
JPM ni Rais tena wazee.Dawa hapa ni Lissu ili Tiwe na majimbo kila mtu ale usawawakamba hizi hela zinakopwa halafu wakati wa kulipa tunalipa wote nchi nzima
Mnafiki hauwezi kuwa wa Iringa wewe. Lazima ni la kule ChatoKwanini hii chuki mnaiona nyie wachaga pekee?
Mbona sie watu wa iringa, mbeya, mara, mtwara na kwingineko hatuoni hii chuki?
Hizo hela ni bora angejenga viwanja vya mpira kila kuboresha industry ya football ili kupunguza hii concepts za kukosa ajira yaani CCM hovyo tu.
Wewe unataka kuanza kuhoji kifaru cha jeshi eeeh?Ila Jiwe ni mpigaji sana, hivi ndiye alinunua kile kivuko kibovu?
Labda kipaumbele cha Kanda ya Ziwa ni Ubwabwa na Vipapatio vya Kuku vya Ashim Rungwe maana kwa ujenzi wa Daraja hilo kutafungua njia nyingi za biashara na Mataifa jirani kama Uganda, Burundi, Rwanda, Kongo na kwingineko.Suala siyo DARAJA,
je, KIPAUMBELE KWA ENEO LA KANDA YA ZIWA NI DARAJA?
Mkuu umesema vema kabisa! na hili ni jibu tosha kabisa kama tukiweka ushabiki pembeni, kama taifa bado tunazo changamoto nyingi kuizamisha pesa hii yote sehemu moja ni hatari sana na kama rais kama kweli alikuwa na maono mazuri basi pesa za ule uwanja wa chato ndiyo angezitumia kujengea hilo daraja.Kwa hili nami natia hoja hapa;
Ujenzi wa daraja la Busisi-Kigongo sio kweli kwamba hauna umuhimu kama wachangiaji wengi wasemavyo ila tujaribu kuangalia kwa mapana sana huku tukihusianisha gharama, mahitaji na alternatives ya mahali husika.
1. Kwa sasa mradi huu wa Tshs.700b kwa ujenzi wa daraja tena sehemu moja tu mimi naona ni matumizi yasiyokuwa na tija. Hii ni pesa nyingi sana kwa eneo hili ikiishia kwenye mradi mmoja tu huku ikiacha changamoto zingine lukuki za eneo hilo.
Maeneo ya kanda ya ziwa bado kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi majumbani hasa kwenye maeneo hayo hayo ya Misungwi, Sengerema, Geita, Nyamagana n.k kwanini pesa hii isitatue changamoto hii kwanza?
Maeneo mengi ya kanda ya ziwa bado barabara ni changamoto, ni mbovu na hazina lami ambapo kama inshu ni kuwahisha wagonjwa Bugando bado wengi wanacheleweshwa na barabara mbovu huko watokako kwanini pesa hii isitatue changamoto hii kwanza?
Ni kweli kusubiri vivuko pale ni kero kubwa sana lakini hili linatatulika kwa kuongeza idadi ya vivuko kuendana na mahitaji, hakika pale vikiongezwa vivuko vingine kama viwili au vitatu vyenye ukubwa na speed ya kutosha hakutakuwa tena changamoto ya foleni mahali pale ambapo ujenzi wa vivuko hivyo hauzidi bilioni 5 kwa kila kimoja pesa ambayo ingeweza kutumika haizidi bilioni 15 na kuacha hela zingine zikaingia kwenye hiyo miradi ya maji na ujenzi wa barabara za lami kanda ya ziwa.
Shida ninayoiona mimi ni maamuzi ya nchi hii kuwa ni ya mtu mmoja mwenye madaraka na mamlaka makubwa sana, akiamua tena majukwaani tu bila kutumia vyombo vya ushauri hili linatugharimu kama taifa. Watendaji wengine wamekuwa ni waoga kushauri kitaalamu maana hawawezi kumkosoa boss wao( kushauri maamuzi ya mkuu ni kumkosoa).
Turudi kwenye uongozi unazingatia kanuni za kiuongozi laiti kama ungewasikiliza wanakanda ya ziwa mahitaji yao nadhani daraja hilo si kapaumbele kikubwa kwa sasa japo kwa baadae ni sawa kabisa.
Unaona sasa?Mnafiki hauwezi kuwa wa Iringa wewe. Lazima ni la kule Chato