Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Daaaah πππNisamehe tu
Unajua kuendesha baiskeli?Mimi nilijifunza kuendesha pikipiki kwa kumuangalia tu muendeshaji uondokaji wake na nikauliza maswali mawili -matatu,kazi ikaanza.Habari natafuta mtu anifundishe pikipiki ambaye atanisaidia nitamshukuru sana nitachangia hela ya mafuta anicheki Pm au hapa hapa
Ndio najuaUnajua kuendesha baiskeli?Mimi nilijifunza kuendesha pikipiki kwa kumuangalia tu muendeshaji uondokaji wake na nikauliza maswali mawili -matatu,kazi ikaanza.
Mkuu hapo na Veta ni karibu tu, fanya ujichange uende veta usomee udereva wa bajaji na hizo boda kwa usalama wako, wa chombo na watukiaji wengine wa barabara pia na kupata leseni itakayokusaidia kupata michongo zaidi.Nipo DSM kwa aziz ally
Naamini umesoma yote niliyoyaandika!Ndio najua
Nilikuwa sijui kama veta wanafundisha uendeshaji wa pikipiki na bajaji ila leo nimejua asante kwa kunipa taarifa nitaenda vetaMkuu hapo na Veta ni karibu tu, fanya ujichange uende veta usomee udereva wa bajaji na hizo boda kwa usalama wako, wa chombo na watukiaji wengine wa barabara pia na kupata leseni itakayokusaidia kupata michongo zaidi.
Hapo. Boda nyingi Toka na 5000 mupejamaa anakufundisha leo makesho unaenda na 5000 anakufundisha inatakiwa uwemwelewa manaana hainavituvingiNipo DSM kwa aziz ally
Sawa mkuuHapo. Boda nyingi Toka na 5000 mupejamaa anakufundisha leo makesho unaenda na 5000 anakufundisha inatakiwa uwemwelewa manaana hainavituvingi
Magogoni ikulu audogo njoo apa magogoni nikufundishe pikipiki kwa bei nafuu
pembezoniMagogoni ikulu au
Mimi nitachangia hela kwaajili ya bima yako ya afyaHabari natafuta mtu anifundishe pikipiki ambaye atanisaidia nitamshukuru sana nitachangia hela ya mafuta anicheki Pm au hapa hapa
Mleta uzi sidhan km yupo seriousYupo DSM kwakuwa JF wanaamini kila MTU yupo dar
DuuuuuuYupo DSM kwakuwa JF wanaamini kila MTU yupo dar
Nenda VETAHabari natafuta mtu anifundishe pikipiki ambaye atanisaidia nitamshukuru sana nitachangia hela ya mafuta anicheki Pm au hapa hapa
Upo wapiNjoo nikufundishe
KivipiMleta uzi sidhan km yupo serious