Bado natafuta mtu anifundishe pikipiki nitachangia hela ya mafuta

Unajua kuendesha baiskeli?Mimi nilijifunza kuendesha pikipiki kwa kumuangalia tu muendeshaji uondokaji wake na nikauliza maswali mawili -matatu,kazi ikaanza.
The same to me! Tena mi hata sikuuliza kitu niliangalia tu then nilivyopewa nikatembea😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…