Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

Sio mpaka uwe na elimu kubwa ya mpira ndio ung'amue mambo, Simba anasajili wachezaji 5, na wachezaji hao keshasajili 3 tiyali ambao wamekamilisha idadi ya wachezaji 12, kwa maana iyo inabidi wawakate wachezaji wengine 2 ili kumuingiza kipa na kiungo, kipa atachukua nafasi ya sakho anayeuzwa na kiungo pia itawabidi wamkate banda ili aingie, baada ya hapo akuna mchezaji mwingine wanayeweza kumkata
Walioachwa 1. Okrah
2. Onyango
3. Akpan (au unadhani huyu mdigo)
4. Okwa
5. Sawadogo
Walioingia
1. Onana
2. Kwuame
3. Che Malone
Ofkoz kuna wa mkopo hapo ila jua ya kwamba viongozi wa Simba na kocha wao hawawezi kuwa wajinga kihivyo.
 
Simba wanapuyanga ningewaelewa kama wangeshusha kiungo mkabaji wa asili(no 6)mmoja namba 8 mmoja.

Mechi Wyda/Raja Vs Simba kule Moroco viungo wa Simba waliwekwa store.
piga uwa Putin(Kanoute) na Kim Jong Hur(Muzamiru) inatakiwa wawe na mbadala wao.

Mechi zenye presha kubwa Putin huwa anamwaga nyuklia kiasi cha kukaribia red card.
 
Usajili bado ndugu, kuna baadhi ya winga zitapunguzwa ili kupata 6 na 8, pia bado wachezaji wa ndani, tu it's subira tutakosoa baadae

Najua sana usajili Bado.

Eneo Lenye mapungufu makubwa ndio lilipaswa liwe la KWANZA kulitatua.

Kwa wachezaji wa ndani hakuna kiungo mwenye uwezo wa Kucheza pale 6 Michezo Mikubwa na yenye pressure .

Pia kumbuka idadi ya Wachezaji wa kigeni imetimia 12.
 
Walioachwa 1. Okrah
2. Onyango
3. Akpan (au unadhani huyu mdigo)
4. Okwa
5. Sawadogo
Walioingia
1. Onana
2. Kwuame
3. Che Malone
Ofkoz kuna wa mkopo hapo ila jua ya kwamba viongozi wa Simba na kocha wao hawawezi kuwa wajinga kihivyo.

HAO wawili.

NAFASI ya .....

1. Akpan AKICHUKUA sawadogo Dirisha Dogo.

2. NAFASI ya Okra ilichukuliwa na Saido Dirisha Dogo

Hivyo Simba ikawa na wachezaji 12.

Nimeomba wanaojua mpira ndio wajadili,.

NB. SIO KILA KIONGOZI WA SIMBA ANAJUA MPIRA.
 
Nahisi

1. alichoshwa kukaa Benchi.
2.Alihitaji MASLAHI zaidi.
3 .kutafuta changamoto mpya.
4. Uongozi WA Simba haupo serious.
5. DHARAU kwa wachezaji wazawa.
Una sema unahisi na una toa lawama kwa klabu ya Simba kumuacha Benno mbona haueleweki ?
 
Nahisi

1. alichoshwa kukaa Benchi.
2.Alihitaji MASLAHI zaidi.
3 .kutafuta changamoto mpya.
4. Uongozi WA Simba haupo serious.
5. DHARAU kwa wachezaji wazawa.
Benno alisaini Singida wakati ligi ina endelea na Simba hawakuona namna yoyote ya kuendelea nae.
Jambo la pili kuna malengo ya klabu na kuna malengo ya mchezaji.
Hakuna klabu amy haipendi kubaki na mchezaji mzuri, lakini ikifika wakati ana taka kuondoka hauwezi kuzuia.
Hivi Singida ina maslahi makubwa kuliko Simba ?
Suala la kukaa bench ni Mtambuka je una uhakika gani Singida ana kwenda kuanza moja kwa moja ?
Ndemla aliondoka Simba tukaambiwa amechoka kukaa benchi je Singida alikuwa chaguo la kwanza ?
Tujadili mpira tuache kuweka hisia binafsi na mwisho kutoa lawama au shutuma kwa viongozi wa mpira.
 
Mpira umejifunza wapi ndugu yangu mbona una tia aibu ?
Chama, Saido na Sakho Sio mawinga ni viungo wa pembeni.
Aina ya majukumu ya kiungo wa pembeni sio sawa na winga.
Bernardo Silva sio winga ila alikuwa ana cheza pembeni kama kiungo wa pembeni.
Onana, Kibu hawa ni shambuliaji wa pembeni na sio mawinga.
Musonda ndani ya klabu ya Yanga ana cheza kama Mshambuliaji wa pembeni na sio winga hivyo sio kila mchezaji anae cheza pembeni ni Winga.
Kramo, Banda hawa ndio mawinga ndani ya kikosi cha Simba.
Sasa basi wachezaji hawa mwalimu (Kocha) ana watumia kulingana na mechi na aina ya mpizani mpangie mchezaji wa pembeni mwenye sifa zipi kulingana na mechi husika.
Suala la wachezaji kuzidi kuna taarifa za kuachwa Banda au Sakho kuuzwa kupisha usajili wa mchezaji mwingine.
 
Simba wana falsafa ya kushambulia kwa sana kuliko kujilinda so ni mara chache sana kuwekeza nguvu kubwa kwa viungo wa kizamani wa ukabaji(pure number 6)..tazama man city unamuona rodrigo yule ni namba 6 ila sio pure.

Sasa simba huwa wanapenda sana kutumia box to box,au namba 8,ambao ndo mpira wa kisasa unataka,kila mtu lazima awe na mchango wa magoli kwenye timu,ndo mana unaona msimu jana,kanoute kafunga,mzamiru kafunga,kapama kafunga..

Tofauti na watu kama kina mtenje albano wa coastal ambaye yeye huwa anaganda eneo lake tuu akisubiri kuvunja wenzie miguu.

Simba wanatarajia kusajili kiungo mkabaji(box to box mmoja kati ya hawa watatu,banfa sylla,efoe novon au fabrice ngoma hao wote ni box to box,tena huyo efoe na ngoma ndo kabisaaa.
 
Back
Top Bottom