Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good details bro, huyu mtoa mada ni kati ya watanzania wengi wanaojua kupiga kelele tu ila vitendo sifuri, nimempuuza.Mtoa mada ni dish tena continental, anajifanya anaijua simba sana kumzidi robertinho perreila jinga moja tu huyu, alafu anakomaa eti nafasi za wageni zimeisha hajui kuwa thank you bado zinaendelea.
Kuhusu kakolanya alitaka kuondoka alitaka kuanza dhidi ya manula sasa je kakolanya ni bora kuliko manula??
Kuhusu namba 6 kanoute mbona yuko vizuri sana kuliko huyo tadeo lwanga, fabrice ngoma pia ni 6 box to box. Simba hatuitaji namba sita ya kizamani falsafa yetu ni kushambulia sio kujilinda ndiomaana winga zimeshuka kwa wingi yaani hutaki utapigwa usipotaka utapigwa tu.
Simba haina tatizo katikati ila ilikuwa na upungufu tu so tulichofanya ni kuongeza mbadala wa kanoute na mzamiru incase mmojawapo ni majeruhi au amechoka. Simba haijaruhusu magoli mengi kwenye ligi na hata cafcc.
Onyango,okra,sawadogo,wataraSio mpaka uwe na elimu kubwa ya mpira ndio ung'amue mambo, Simba anasajili wachezaji 5, na wachezaji hao keshasajili 3 tiyali ambao wamekamilisha idadi ya wachezaji 12, kwa maana iyo inabidi wawakate wachezaji wengine 2 ili kumuingiza kipa na kiungo, kipa atachukua nafasi ya sakho anayeuzwa na kiungo pia itawabidi wamkate banda ili aingie, baada ya hapo akuna mchezaji mwingine wanayeweza kumkata
Mtoa mada ni dish tena continental, anajifanya anaijua simba sana kumzidi robertinho perreila jinga moja tu huyu, alafu anakomaa eti nafasi za wageni zimeisha hajui kuwa thank you bado zinaendelea.
Kuhusu kakolanya alitaka kuondoka alitaka kuanza dhidi ya manula sasa je kakolanya ni bora kuliko manula??
Kuhusu namba 6 kanoute mbona yuko vizuri sana kuliko huyo tadeo lwanga, fabrice ngoma pia ni 6 box to box. Simba hatuitaji namba sita ya kizamani falsafa yetu ni kushambulia sio kujilinda ndiomaana winga zimeshuka kwa wingi yaani hutaki utapigwa usipotaka utapigwa tu.
Simba haina tatizo katikati ila ilikuwa na upungufu tu so tulichofanya ni kuongeza mbadala wa kanoute na mzamiru incase mmojawapo ni majeruhi au amechoka. Simba haijaruhusu magoli mengi kwenye ligi na hata cafcc.
Kijana nakufundisha unapotaka kuweka bandiko la uchambuzi wa mpira wa miguu au hata mambo mengine kiufundi anza kuandika kwanza wasifu na uzoefu wako kuhusu hicho unachokichambua nje ya hapo huna tofauti na mfalme Juha. certificate ya Football Science huna unakaza shingo kuchambua chambua, unachambua nini usichokijua?, UJINGA tu.Nimeomba ANDIKO langu lijadiliwe na WATU WENYE AKILI TIMAMU.
Sitaki mashabiki Maandazi.
Good details bro, huyu mtoa mada ni kati ya watanzania wengi wanaojua kupiga kelele tu ila vitendo sifuri, nimempuuza.
Kijana nakufundisha unapotaka kuweka bandiko la uchambuzi wa mpira wa miguu au hata mambo mengine kiufundi anza kuandika kwanza wasifu na uzoefu wako kuhusu hicho unachokichambua nje ya hapo huna tofauti na mfalme Juha. certificate ya Football Science huna unakaza shingo kuchambua chambua, unachambua nini usichokijua?, UJINGA tu.
Sawa mchambuzi wa kimataifaHabari ndugu ZANGU.
Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi na mdau wa Simba.
Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba.
NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI.
1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa kigeni. Baada ya Manura KUUMIA. (Santos)
Hivyo kujinyima WiGo WA wachezaji wa ndani.
2. KOSA la pili Kukosa beki MBADALA WA KIGENI WA Che Malone na Inonga Incase Wana Kadi au WAKIUMIA.
Na hapohapo wamekosea MBADALA WA Mohamed Hussen.
YAHAYA mbegu ameng'ang'ania SINGIDA akiwa na GADIEL Michael ALIYE ondoka.
3 . KOSA KUBWA KABISA KABISA NI KUKOSA BACKBONE YA TIMU/ UTI WA MGONGO WA TIMU KIUNGO MKABAJI CDM 6
Tangu AMEONDOKA LWANGA , mkude, Nyoni na sawadogo hakuna MBADALA wao.
Japo Kunatetesi na Unafuu nasikia NGOMA amesaini Simba hii itakuwa nafuu Ila NGOMA ni 8.
4. KOSA LINGINE ni kujaza idadi kubwa ya Mawinga
I. Saido.
Ii. Onana.
Iii. kibu Denis
Iv. Sakho, Banda
V. Chama.
Vi Aubin Kramo.
5. KOSA LINGINE usajili WA mshambuliaji mmoja tu no 9. Jean Baleke.
Boko AMEISHA.
Ile Simba ya Makombe ilikuwa Kagere, Boko na mugalu saizi ni Baleke pekee
6 . Kidogo wamenifurahisha kwenye no 10.
Phili, Saido, chama.
MAKOSA NI MENGI MNO MUDA NI MCHACHE.
SIMBA NA ROBERTINHO REKEBISHENI HAPA.
USHAURI WA BURE. MSIJE MKAANZA LAWAMA.
NAFASI ,ZA KIGENI NI 12 TU.
NA ZIMEISHA.
Naomba Uzi Huu ujadiliwe na wanaojua mpira tu sio mashabiki Maandazi
Sitaki ubishani WA KITOTO.
Ndio Maana nimeomba ANDIKO langu lijadiliwe na WATU WENYE AKILI TIMAMU na si mashabiki Maandazi.
Hujui MPIRA HUWEZI ukamlinganisha Kanute na LWANGA.
CDM na Box to box
Kama kanute ni Bora kuliko LWANGA basi Simba wasingesajili sawadogo kwenye 6.
FICHA UJINGA
Ndio maana kuna mtenje kashasajiliwa, atatumika kuendana na mahitaji ya mechi so tulia wewe hujui boli ndio maana unalalamika. simba hii sio simba ya misimu 2018/2019/2020. Falsafa imebadilika usikalili, simba hii inashambulia zaidi takwimu zinaongea tena simba hii ndio simba bora kuwahi kutokea takwimu zinaongea hebu nitajie simba ya msimu upi iliyofunga goli nyingi zaidi ndani ya msimu mmoja kama hii ya 2022/2023. So usilazimishe simba ile ya zilipendwa pasi kibao iwe kama hii boli itembee tunahitaji box to box zaidi na winga za kutosha.Sitaki ubishani WA KITOTO.
Ndio Maana nimeomba ANDIKO langu lijadiliwe na WATU WENYE AKILI TIMAMU na si mashabiki Maandazi.
Hujui MPIRA HUWEZI ukamlinganisha Kanute na LWANGA.
CDM na Box to box
Kama kanute ni Bora kuliko LWANGA basi Simba wasingesajili sawadogo kwenye 6.
FICHA UJINGA.
Kila mtu ana ujinga wake kama ww ujionavyo upo sahihi basi ni ujinga kwa mwingine toa nyuzi pokea mawazo ya kila mtu kama wao walivyopokea uzi wakoWAPUMBAVU NA WAJINGA.
JIFUNZENI KUTOFAUTISHA
MADA.
MTOA MADA.
UCHAMBUZI.
MAONI.
MAONO.
MAPENDEKEZO.
SIPENDI NYUZI ZANGU ZIJADILIWE NA WAPUMBAVU ALWAYS.
UKIJIONA MJINGA.
SOMA KAA KIMYA.
Wee Mayele ana donda???Waulize kwanini wamemroga mayele,[emoji1787]yaani wamemtia donda mguuni mpaka asaini ndo wanaliondoa wamemwambia
Ndio maana kuna mtenje kashasajiliwa, atatumika kuendana na mahitaji ya mechi so tulia wewe hujui boli ndio maana unalalamika. simba hii sio simba ya misimu 2018/2019/2020. Falsafa imebadilika usikalili, simba hii inashambulia zaidi takwimu zinaongea tena simba hii ndio simba bora kuwahi kutokea takwimu zinaongea hebu nitajie simba ya msimu upi iliyofunga goli nyingi zaidi ndani ya msimu mmoja kama hii ya 2022/2023. So usilazimishe simba ile ya zilipendwa pasi kibao iwe kama hii boli itembee tunahitaji box to box zaidi na winga za kutosha.
Kweli yanga wenye akili ni wawili tu.Baleke mtoe, kaishaondoka kabisa huyo
Ndio maana nasema boli hujui hapo kwa mtenje ni 6 asilia kwelikweli. Kwani nani alijua kama ibrahim backa angecheza fainali?? Nadhani ukapimwe akiliHuyo mtenje ni quality ya kucheza na Alahaly, Mamelodi Raja???????.
Falsafa imebadirika Mwaka Gani???
Huyo Sawadogo si ALISAJILIWA kama kiungo mkabaji 6 lakini ameshindwa au???
Ndio Maana nimeomba Uzi wangu ujadiliwe na WATU WENYE AKILI TIMAMU.
Huyo ni kolo mwenzakoUpande wa pili mna wivu sana.
Mnamuacha Sakho ,mnaleta mtu ambae ni injury proneHakika mkuu Tena kwa Bahati Mbaya nafasi zimejaa.
Kunauwezekano WA KUMUACHA Banda na KUMSAJILI Golikipa.
Kumuuza SAKCHO na KUMSAJILI Fabrice NGOMA no 8.
MAKOSA MAKUBWA Sana nayaona.
Sako aachwi anauzwa acha kijana akatafute changamoto ufaransa bwana..namba ya sako haina pengo kuna kibu,kwame,onana kwanza kama kibu tu alikuwa anamuweka sakho bench ni bora kumuuza kabla bench halijamuhusuMnamuacha Sakho ,mnaleta mtu ambae ni injury prone
Shida bado ipo kwenye mpira wetu
Mambo ya kukomoana
Ndio maana nasema boli hujui hapo kwa mtenje ni 6 asilia kwelikweli. Kwani nani alijua kama ibrahim backa angecheza fainali?? Nadhani ukapimwe akili