Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

Usajili uzingatie balance ya timu
 
Good details bro, huyu mtoa mada ni kati ya watanzania wengi wanaojua kupiga kelele tu ila vitendo sifuri, nimempuuza.
 
Onyango,okra,sawadogo,watara
 

Sitaki ubishani WA KITOTO.

Ndio Maana nimeomba ANDIKO langu lijadiliwe na WATU WENYE AKILI TIMAMU na si mashabiki Maandazi.

Hujui MPIRA HUWEZI ukamlinganisha Kanute na LWANGA.
CDM na Box to box

Kama kanute ni Bora kuliko LWANGA basi Simba wasingesajili sawadogo kwenye 6.

FICHA UJINGA.
 
Nimeomba ANDIKO langu lijadiliwe na WATU WENYE AKILI TIMAMU.

Sitaki mashabiki Maandazi.
Kijana nakufundisha unapotaka kuweka bandiko la uchambuzi wa mpira wa miguu au hata mambo mengine kiufundi anza kuandika kwanza wasifu na uzoefu wako kuhusu hicho unachokichambua nje ya hapo huna tofauti na mfalme Juha. certificate ya Football Science huna unakaza shingo kuchambua chambua, unachambua nini usichokijua?, UJINGA tu.
 
Good details bro, huyu mtoa mada ni kati ya watanzania wengi wanaojua kupiga kelele tu ila vitendo sifuri, nimempuuza.

WAJINGA wanaongezeka kwa Kasi.

Nimeomba ANDIKO langu lijadiliwe na WATU WEREVU na si WAJINGA NA WAPUMBAVU.

Kama haitoshi , Unaacha kujadili MADA unamjadili MTOA mada.

Sitaki mashabiki Maandazi.
 


WEWE BADO SANA.
 
WAPUMBAVU NA WAJINGA.
JIFUNZENI KUTOFAUTISHA

MADA.
MTOA MADA.
UCHAMBUZI.
MAONI.
MAONO.
MAPENDEKEZO.

SIPENDI NYUZI ZANGU ZIJADILIWE NA WAPUMBAVU ALWAYS.

UKIJIONA MJINGA.
SOMA KAA KIMYA.
 
Sawa mchambuzi wa kimataifa
 

Ndio maana kuna mtenje kashasajiliwa, atatumika kuendana na mahitaji ya mechi so tulia wewe hujui boli ndio maana unalalamika. simba hii sio simba ya misimu 2018/2019/2020. Falsafa imebadilika usikalili, simba hii inashambulia zaidi takwimu zinaongea tena simba hii ndio simba bora kuwahi kutokea takwimu zinaongea hebu nitajie simba ya msimu upi iliyofunga goli nyingi zaidi ndani ya msimu mmoja kama hii ya 2022/2023. So usilazimishe simba ile ya zilipendwa pasi kibao iwe kama hii boli itembee tunahitaji box to box zaidi na winga za kutosha.
 
WAPUMBAVU NA WAJINGA.
JIFUNZENI KUTOFAUTISHA

MADA.
MTOA MADA.
UCHAMBUZI.
MAONI.
MAONO.
MAPENDEKEZO.

SIPENDI NYUZI ZANGU ZIJADILIWE NA WAPUMBAVU ALWAYS.

UKIJIONA MJINGA.
SOMA KAA KIMYA.
Kila mtu ana ujinga wake kama ww ujionavyo upo sahihi basi ni ujinga kwa mwingine toa nyuzi pokea mawazo ya kila mtu kama wao walivyopokea uzi wako
 

Huyo mtenje ni quality ya kucheza na Alahaly, Mamelodi Raja???????.

Falsafa imebadirika Mwaka Gani???
Huyo Sawadogo si ALISAJILIWA kama kiungo mkabaji 6 lakini ameshindwa au???

Ndio Maana nimeomba Uzi wangu ujadiliwe na WATU WENYE AKILI TIMAMU.
 
Huyo mtenje ni quality ya kucheza na Alahaly, Mamelodi Raja???????.

Falsafa imebadirika Mwaka Gani???
Huyo Sawadogo si ALISAJILIWA kama kiungo mkabaji 6 lakini ameshindwa au???

Ndio Maana nimeomba Uzi wangu ujadiliwe na WATU WENYE AKILI TIMAMU.
Ndio maana nasema boli hujui hapo kwa mtenje ni 6 asilia kwelikweli. Kwani nani alijua kama ibrahim backa angecheza fainali?? Nadhani ukapimwe akili
 
Hakika mkuu Tena kwa Bahati Mbaya nafasi zimejaa.

Kunauwezekano WA KUMUACHA Banda na KUMSAJILI Golikipa.

Kumuuza SAKCHO na KUMSAJILI Fabrice NGOMA no 8.

MAKOSA MAKUBWA Sana nayaona.
Mnamuacha Sakho ,mnaleta mtu ambae ni injury prone
Shida bado ipo kwenye mpira wetu
Mambo ya kukomoana
 
Mnamuacha Sakho ,mnaleta mtu ambae ni injury prone
Shida bado ipo kwenye mpira wetu
Mambo ya kukomoana
Sako aachwi anauzwa acha kijana akatafute changamoto ufaransa bwana..namba ya sako haina pengo kuna kibu,kwame,onana kwanza kama kibu tu alikuwa anamuweka sakho bench ni bora kumuuza kabla bench halijamuhusu
 
Ndio maana nasema boli hujui hapo kwa mtenje ni 6 asilia kwelikweli. Kwani nani alijua kama ibrahim backa angecheza fainali?? Nadhani ukapimwe akili

Sawa.

Endelea na ujinga WAKO.

Kwahiyo Baka Akicheza Fainali na nteje atacheza Fainali?????

Mbona kapama hajacheza fainali

FICHA UJINGA WEWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…