BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,625
- 3,014
Na nirudie tu kusema nisingependa kuskia sauti za hao walafi na wapigania matumbo yao wakilalamika kuibiwa kura. Wakae kimya
Mtaisona namba eeeee, CCM mbele kwa mbeleeeeWale wanaohitaji CCM Idumu milele huku Upinzani Umekufa, kuna muda utafika wataanza kufa bila kuuona Mwisho wa CCM Ikiwa kufa kwao ndio Mwisho wa CCM..
Upinzani ni imani na sio Chama.View attachment 3520377