NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Kitendawili chako kigumu!
Nipe kamsaada dada yangu mpendwa
Kitendawili chako kigumu!
Sasa nimeelewa kuwa unaweza kuwa unampangia adui yako mabaya yampate halafu wewe mwenyewe ukasahau kufunga mlango ndiyo yatakayoipata chama kikubwa mwaka huu. Watawala wametulia na wala hawahisi joto. Jambo la ajabu litatokea hawawezi kukiamini. Samahani hivi kule Misri siku chache kabla ya pigo la mwisho halijatokea, angekuja mtu kumwambia Farao kuwa baada ya siku chache wana wa Israel wataondoka angeamini? Wala asingeamini hata kidogo, lkn ndicho kilichotokea. Muda ni rafiki mzuri tuvute subiraMmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Hakika mama Samia ni kiboko, anawachanganya mpaka wazee kiasi kwamba imefika wakati hawajui hata mada wanayoianzisha inazungumzia nn?!!!! Hatari sana.
Ni kichekesho Cha Karne kujipumbaza kiasi hiki. Itaigharimu chadema chakavu miaka 100 kufikia intelejinsia ya ccm (na hapo kama ccm itabaki hivi hivi kama ilivyo).
Oh, nikitaka kusahau; hivi Dr Slaa si yupo huko anapiga kazi ya no reform no election ee?!!!!🤣🤣🤣🤣
Wrong!
Napenda Muhuri wa Mange Umenadikwa SIRI lakini wote tunaona.Usitake tuweke hata visivyofaa kuwekwa hapaView attachment 3341099
Kuna aliyekatazwa kuja kupiga kampeni?
CHADEMA WANAJITEKENYA WENYEWE ILI WAJICHEKESHE WENYEWEMmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?