Bado ni CHADEMA tuu.. CCM inazidi kufutika kwenye siasa za Tanganyika

Chauma ni tawi la ccm linalopokea maelekezo yote. Walivyokuwa hawana haya eti watapewa wabunge.....mnagawana nchi kama mali ya mwendawazimu.

Majimbo hayo ya kuwagawia Chauma ndiyo maana tuna taka reforms.....huu moto hautapoa
Upo sahihi mkuu,Chang'ata ni chama kimeundwa kupoteza maboya
 
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm

Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
bila ushahidi wa chochote hizi ni propaganda

hizi propaganda za kupewa pesa mlimfanyia aCT ila we know you now

chaumma wapate hela popote wanapopata we do not care.....

nyie mnavyopata Ford Foundation kutoka nairobi huko sio hela ni mavi hayo?

acheni kuleta usenge wa what-aboutism hapa

hela zenu nyie ni safi hela za wengine sio safi?

kumanyoko kabisa
 
Muhimu kuliko vyote wasije wakatulilia mbele za media kuwa wameibiwa kura, mara uchaguzi haukuwa huru na haki. Mimi siyo mtu wa matusi ila wakileta lawama zao humu wataoga matusi. Ngoja tuwasubiri.
 
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm

Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuiua CHADEMA kama walivyotaka kumuua Tundu Lissu, lakini hawatafanikiwa kwa jina la Mungu aliye hai. Badala yake watakufa wao kama ilivyotokea mwaka 2020. Mungu ni fundi wa mafundi.
 
Sioni kitu cha ajabu hapa, ila makosa ya kiuandishi tu. Hata Chadema Hence anatoa kofia na kila mfurukutwa anachanga. Wangekuwa wanalazimisha ofisi za serikali au mashirika ya umma kuchanga, hapo ndipo kungekuwa na ukakasi.
CCM inazidi kufutika kwenye siasa za Tanganyika? Seriously?
Sikuandika ili uamini
 
Sioni kitu cha ajabu hapa, ila makosa ya kiuandishi tu. Hata Chadema Hence anatoa kofia na kila mfurukutwa anachanga. Wangekuwa wanalazimisha ofisi za serikali au mashirika ya umma kuchanga, hapo ndipo kungekuwa na ukakasi.
Huoni cha ajabu kwakuwa ukipenda chongo huona kengeza
 
Sioni kitu cha ajabu hapa, ila makosa ya kiuandishi tu. Hata Chadema Hence anatoa kofia na kila mfurukutwa anachanga. Wangekuwa wanalazimisha ofisi za serikali au mashirika ya umma kuchanga, hapo ndipo kungekuwa na ukakasi.
IMG-20250521-WA0032.jpg
 
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm

Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Hakuna kipindi ccm imeonekana ya kipumbavu kama nyakati hizi.Ccm inafungua tawi lake lingine inaita chama cha upinzani!.Nadhani hata wana ccm wenyewe wanaona huu ni upumbavu.
 
Ccm inafungua tawi lake lingine inaita chama cha upinzani!.Nadhani hata wana ccm wenyewe wanaona huu ni upumbavu.😁😁😁
 
Chauma ni tawi la ccm linalopokea maelekezo yote. Walivyokuwa hawana haya eti watapewa wabunge.....mnagawana nchi kama mali ya mwendawazimu.

Majimbo hayo ya kuwagawia Chauma ndiyo maana tuna taka reforms.....huu moto hautapoa
Chadema na Chauma vitakuja kushrikiana tu wanajuana zaidi kuliko ccm inayowabeba.
 
CCM imeiua chadema kisayansi. Hadi mwezi wa 7 chadema itakuwa imeishazikwa.
@exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi" mwisho wa kunukuu.!
 
bila ushahidi wa chochote hizi ni propaganda

hizi propaganda za kupewa pesa mlimfanyia aCT ila we know you now

chaumma wapate hela popote wanapopata we do not care.....

nyie mnavyopata Ford Foundation kutoka nairobi huko sio hela ni mavi hayo?

acheni kuleta usenge wa what-aboutism hapa

hela zenu nyie ni safi hela za wengine sio safi?

kumanyoko kabisa
@exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi" mwisho wa kunukuu.!

Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm

Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
mbna wamejaa uku ccm tawi kuu hao ni reserve tu
 
Fedha zimetoka "kulee"
 
@exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi" mwisho wa kunukuu.!

dua la kuku

tuna C4C kwa chopper kwa siku 16 straight...katapeliwa nani?

leo mnajitia watoa nasaha?

juzi tu hapa mlikua mnakomaa kufukuza watu,mnakomaa kuwaambia watu wahame,wamehama ghafla mnageuka watoa ushauri nasaha kwa watu hao hao mliowafukuza nyie kwa mikono yenu?

wa ajabu hasa ni nyie wala sio wao

it shows yall are bipolar bunch

boni yai anakuja chaumma,mwamba akitoa kauli tu wote wana vacate kuja huku,hivyo kaa kwa kutulia

mwanachama mtiifu wa lissu na matusi alitukana sana kukilinda chama ghafla bin vuu yupo ACT.....madereka!

yall are cooked!
 
Masikini nawaona mnavyoumia! Nilisema kuingia kwa Tundu Lissu kuliingiza jinamizi Chadema hamkunisikiliza
Sasa kwa akili yako ulitaka Chadema iendelee na mwenyekiti mamluki wa Ccm. Lissu katufumbua macho wa Tz kuwa kulikuwa hakuna upinzani zaidi ya mamluki wa Ccm
 
Hakika mama Samia ni kiboko, anawachanganya mpaka wazee kiasi kwamba imefika wakati hawajui hata mada wanayoianzisha inazungumzia nn?!!!! Hatari sana.

Ni kichekesho Cha Karne kujipumbaza kiasi hiki. Itaigharimu chadema chakavu miaka 100 kufikia intelejinsia ya ccm (na hapo kama ccm itabaki hivi hivi kama ilivyo).

Oh, nikitaka kusahau; hivi Dr Slaa si yupo huko anapiga kazi ya no reform no election ee?!!!!🤣🤣🤣🤣
Bora mapandikizi yaondoke yote hata kama wakibaki mawili ni bora iwe hivyo na ijulikane kuwa Tz wapinzani genuine ni wawili tu kuliko kuwa na wapinzani million 4 lakini genuine ni 10 tu.
 
Back
Top Bottom