Bado ni CHADEMA tuu.. CCM inazidi kufutika kwenye siasa za Tanganyika

dua la kuku

tuna C4C kwa chopper kwa siku 16 straight...katapeliwa nani?

leo mnajitia watoa nasaha?

juzi tu hapa mlikua mnakomaa kufukuza watu,mnakomaa kuwaambia watu wahame,wamehama ghafla mnageuka watoa ushauri nasaha kwa watu hao hao mliowafukuza nyie kwa mikono yenu?

wa ajabu hasa ni nyie wala sio wao

it shows yall are bipolar bunch

boni yai anakuja chaumma,mwamba akitoa kauli tu wote wana vacate kuja huku,hivyo kaa kwa kutulia

mwanachama mtiifu wa lissu na matusi alitukana sana kukilinda chama ghafla bin vuu yupo ACT.....madereka!

yall are cooked!
Hao wanachama wameshakwenda Chauma lakini mijadara mingi bado watu wanaiwaza Chadema badala ya kuwaza wanajipanga vp na uchaguzi ambao Chadema hawashiriki 😂😂😂 ajabu sana hii
 
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm

Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Chadema inapaswa kuweka mashushushu mpaka jwtz na hata mapolisi na mpaka huko TISS mpaka huko kwa mboga mboga pia waweke watu wao ili kujua nia na maovu na kurahisisha kuitwanga mboga mboga
 
Bora mapandikizi yaondoke yote hata kama wakibaki mawili ni bora iwe hivyo na ijulikane kuwa Tz wapinzani genuine ni wawili tu kuliko kuwa na wapinzani million 4 lakini genuine ni 10 tu.
Sawa lakini Bado hujajibu swali; hivi Dr Slaa anakiwasha huko ee kwenye no reform no election ee?!!!!
 
Chadema inapaswa kuweka mashushushu mpaka jwtz na hata mapolisi na mpaka huko TISS mpaka huko kwa mboga mboga pia waweke watu wao ili kujua nia na maovu na kurahisisha kuitwanga mboga mboga
Angalia hili lipumbavu, unafikiri hawataki?!!!!!
 
Labda kama wewe huwa unajiita CHADEMA. Lakini CHADEMA kama chama, utaondoka Dunia hii, CHADEMA utaiacha, na yumkini ikizidi kuimarika zaidi.
Jibu murua kabisa
 
Labda kama wewe huwa unajiita CHADEMA. Lakini CHADEMA kama chama, utaondoka Dunia hii, CHADEMA utaiacha, na yumkini ikizidi kuimarika zaidi.
Kuwepo hata waafrika tupo duniani, lkn kifuatacho?!!! Kuomba vijiti vya kuchokonolea meno china. Nyumbu wataendelea kuwepo, hilo halina shida kwani wapo tangu 1992 lkn uwepo wao ni kwa ajili tu ya watu flani kisurvive........... itaendelea hivyo hata milele.
 
Sawa lakini Bado hujajibu swali; hivi Dr Slaa anakiwasha huko ee kwenye no reform no election ee?!!!!
Huyo toka aliposaliti kipindi kile 2015 sijawahi fatilia habari wala misimamo yake. Labda nikuulize wewe
 
kuhama chama ni haki yao wala hawapaswi kupewa majina yoyote amna walichokosea, same way kipindi ccm waiwapa watu na hamkupewa majina
 
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm

Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Ila CHADEMA ina roho ngumu sana! Pamoja na makombora yote iliyopigwa bado imeendelea kusimama tu!
 
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm

Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Kama mbwembwe za mitandao zingejenga nchi…. Tanzania Ingekua the first world
 
Back
Top Bottom