Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebye