MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Mfumo wa Tanzania ni ule wa zidumu fikra za mwenyekiti bado unatumika mpaka sasa,ndio maana MTU anateua then anatengua ,ni kama mwanafunzi ambae daftari lake utakuta uchafu wa kufutafuta .
Kiongozi lazima ujue maeneo yako ya mkakati machache na uyaweke chini ya watu maalumu na wajulikane kitaifa na hawa ndio unakaa nao kuteua unaotaka.
Siyo unataka kuteua unampigia simu mstaafu akushauri si vyema.
1.mshauri wa usalama
2.mshauri wa uchumi
3.mshauri wa afya
4.mshauri wa elimu