matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Hapana huyu alizidi, japo alikuwa anawapanga wanaopiga simu, hadi uwe muelewa ndio utatambua hilo, na badaye nilikuja kudhibitisha, haiwezekani mtu anapiga simu, anataja jina lake, anasema tatizo lake, kisha una mwambia ni mama yako aitwaye fulani ndio amekusababishia tatizo hilo, hiyo ni ramli chonganishi, na anasema huyo sasa tuna muua!!Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.
Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.
Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.
Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.
Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
Ile siyo ramli chonganishi ila ni STAGED mkuu. Kwa maana nyingine inakuwa kama movie. Ni script inakuwa imeandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu. Kwa hyo hata anaye ambiwa amemloga sijui mwanaye,naye anakuwa part of the script..ila nyie mnao sikiliza mnaona kama wanachonganishwa.Hapana huyu alizidi, japo alikuwa anawapanga wanaopiga simu, hadi uwe muelewa ndio utatambua hilo, na badaye nilikuja kudhibitisha, haiwezekani mtu anapiga simu, anataja jina lake, anasema tatizo lake, kisha una mwambia ni mama yako aitwaye fulani ndio amekusababishia tatizo hilo, hiyo ni ramli chonganishi, na anasema huyo sasa tuna muua!!
Ndio maana nikasema hilo liko wazi ila ni kwa tunao jua, ila kwa watanzania wengi hasa wale wafuasi wao,(kina mama) ni ngumu kujua hilo, sana sana lazima wataona kuwa serikali ina llea, tatizo, na ndio maana hata kwenye barua ya serikali wamelisema hilo. Ni tapeli tu, na mtaji wao ni wananchi wengi walio kosa matumaini ya maisha.Ile siyo ramli chonganishi ila ni STAGED mkuu. Kwa maana nyingine inakuwa kama movie. Ni script inakuwa imeandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu. Kwa hyo hata anaye ambiwa amemloga sijui mwanaye,naye anakuwa part of the script..ila nyie mnao sikiliza mnaona kama wanachonganishwa.
Kuna Kila kukicha wanahubiria waumini wao kuwa wanaowamaliza ni mashangazi zao...!!Hapana huyu alizidi, japo alikuwa anawapanga wanaopiga simu, hadi uwe muelewa ndio utatambua hilo, na badaye nilikuja kudhibitisha, haiwezekani mtu anapiga simu, anataja jina lake, anasema tatizo lake, kisha una mwambia ni mama yako aitwaye fulani ndio amekusababishia tatizo hilo, hiyo ni ramli chonganishi, na anasema huyo sasa tuna muua!!
hahahahahahahahahahahahaha.......Hapana huyu alizidi, japo alikuwa anawapanga wanaopiga simu, hadi uwe muelewa ndio utatambua hilo, na badaye nilikuja kudhibitisha, haiwezekani mtu anapiga simu, anataja jina lake, anasema tatizo lake, kisha una mwambia ni mama yako aitwaye fulani ndio amekusababishia tatizo hilo, hiyo ni ramli chonganishi, na anasema huyo sasa tuna muua!!
Wamemwonea kama walivyomwonea zumaridi. Wote wanaojiita manabii na makuhani hawana tofauti naye. Wote ni sawa na yeye na zumaridi basi tuKama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.
Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.
Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.
Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.
Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
Hivyo anafanya karibu wote wanaotumia Redio kwenye kutabiri. Matukio mengi kwenye makanisa ya kilokole ni staged.Hapana huyu alizidi, japo alikuwa anawapanga wanaopiga simu, hadi uwe muelewa ndio utatambua hilo, na badaye nilikuja kudhibitisha, haiwezekani mtu anapiga simu, anataja jina lake, anasema tatizo lake, kisha una mwambia ni mama yako aitwaye fulani ndio amekusababishia tatizo hilo, hiyo ni ramli chonganishi, na anasema huyo sasa tuna muua!!
Au Sugiye anayeombea hadi kucha. Alifungiwa Ila kafunguliwa na nakula vichwa balaa.Wamemwonea kama walivyomwonea zumaridi. Wote wanaojiita manabii na makuhani hawana tofauti naye. Wote ni sawa na yeye na zumaridi basi tu
Najiuliza,watanzania wamekuwa wajinga kias gn? Wameshindwa kutambua uongo wa wazi wa yule jamaa.. eti jamaa anafufua watu kirahisi tu kwa kumpigia simu. Alizidi uongo, nadhani hata akina mwamposa hawajafikia hatua ya kuhadaa namna ileNdio maana nikasema hilo liko wazi ila ni kwa tunao jua, ila kwa watanzania wengi hasa wale wafuasi wao,(kina mama) ni ngumu kujua hilo, sana sana lazima wataona kuwa serikali ina llea, tatizo, na ndio maana hata kwenye barua ya serikali wamelisema hilo. Ni tapeli tu, na mtaji wao ni wananchi wengi walio kosa matumaini ya maisha.
Hii nimeshawahi kusema. Ni kusambaza uchonganishi katika jamii.Kuna Kila kukicha wanahubiria waumini wao kuwa wanaowamaliza ni mashangazi zao...!!
Huyu alikuwa anavuka mipaka na alichokuwa anakifanya ni utapeli, udhalilishaji na unyanyasaji wa kihisia wa wafuasi wake. Unaweza kuwa sawa kwenye baadhi ya uliyosema ila huyu ni janga ziadi ya wenzie.Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.
Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.
Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.
Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.
Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
Political connection, kamaaliyo nayo jambazi mwamposa, ahukue tu kadi ya ccm, au achangie kampeni za Mama kizimkazi, ghafla Mambo yote yatakuwa sawa.Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.
Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.
Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.
Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.
Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
Kwanza ni mgeni, halafu anaharibu madili ya watu akina Suguye na MWAMPOSA ambao wanadeal na akina Makonda. Biteko pia haukumwona Kwa Suguye? Iweje aendelee kusumbua? Akwende zake. Hii nchi ngumu sana.Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.