Bado sijaona kosa alilofanya Kiboko wa Wachawi am ambao wapinzani wake wa kilokole hawafanyi

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.

Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.

Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.

Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.

Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
 
Hapana huyu alizidi, japo alikuwa anawapanga wanaopiga simu, hadi uwe muelewa ndio utatambua hilo, na badaye nilikuja kudhibitisha, haiwezekani mtu anapiga simu, anataja jina lake, anasema tatizo lake, kisha una mwambia ni mama yako aitwaye fulani ndio amekusababishia tatizo hilo, hiyo ni ramli chonganishi, na anasema huyo sasa tuna muua!!
 
Ile siyo ramli chonganishi ila ni STAGED mkuu. Kwa maana nyingine inakuwa kama movie. Ni script inakuwa imeandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu. Kwa hyo hata anaye ambiwa amemloga sijui mwanaye,naye anakuwa part of the script..ila nyie mnao sikiliza mnaona kama wanachonganishwa.
 
Ndio maana nikasema hilo liko wazi ila ni kwa tunao jua, ila kwa watanzania wengi hasa wale wafuasi wao,(kina mama) ni ngumu kujua hilo, sana sana lazima wataona kuwa serikali ina llea, tatizo, na ndio maana hata kwenye barua ya serikali wamelisema hilo. Ni tapeli tu, na mtaji wao ni wananchi wengi walio kosa matumaini ya maisha.
 
Hapana huyu alizidi, japo alikuwa anawapanga wanaopiga simu, hadi uwe muelewa ndio utatambua hilo, na badaye nilikuja kudhibitisha, haiwezekani mtu anapiga simu, anataja jina lake, anasema tatizo lake, kisha una mwambia ni mama yako aitwaye fulani ndio amekusababishia tatizo hilo, hiyo ni ramli chonganishi, na anasema huyo sasa tuna muua!!
Kuna Kila kukicha wanahubiria waumini wao kuwa wanaowamaliza ni mashangazi zao...!!
 
hahahahahahahahahahahahaha.......
hatari sana mkuu...!!
 
Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.

Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.

Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.

Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.

Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
Wamemwonea kama walivyomwonea zumaridi. Wote wanaojiita manabii na makuhani hawana tofauti naye. Wote ni sawa na yeye na zumaridi basi tu
 
Hapana huyu alizidi, japo alikuwa anawapanga wanaopiga simu, hadi uwe muelewa ndio utatambua hilo, na badaye nilikuja kudhibitisha, haiwezekani mtu anapiga simu, anataja jina lake, anasema tatizo lake, kisha una mwambia ni mama yako aitwaye fulani ndio amekusababishia tatizo hilo, hiyo ni ramli chonganishi, na anasema huyo sasa tuna muua!!
Hivyo anafanya karibu wote wanaotumia Redio kwenye kutabiri. Matukio mengi kwenye makanisa ya kilokole ni staged.

Muandishi wa Kenya Mohammed Ally alifanya investigation kwaPr mmoja nadhani alootwa Kanyari, aliingiza spy camera hadi studio kwa Pr. Sio tu walio kuwa wanaopiga simu alikuwa wengi ni Hao bali alikuwa na hostel kabisa amelazwa wapiga simu na media crew yake. Wengine wanaopiga simu huku wanaangaliana na unabii wanacheka. Lengo ni kuwapanga nyie mnaosikia.

Ila licha ya kuumbuliwa huyo jamaa hadi leo ni Pr na bado nakula vichwa. Hizi Mambo ziko kimafia Sana mkuu. Wangempunguzia kasi tu ili wanaopenda kudanganywa wadanganywe kama ambavyo wanadanganywa kwa wengine tunaowapenda.
 
Wamemwonea kama walivyomwonea zumaridi. Wote wanaojiita manabii na makuhani hawana tofauti naye. Wote ni sawa na yeye na zumaridi basi tu
Au Sugiye anayeombea hadi kucha. Alifungiwa Ila kafunguliwa na nakula vichwa balaa.

Kikubwa Serikali uweke wapelelezi wao kwa Hawa jamaa au iwe inawaita kisiri kimonitor movements zao kuepusha wasije wakapotiliza na kufanya ya kibwetere
 
Ndio maana nikasema hilo liko wazi ila ni kwa tunao jua, ila kwa watanzania wengi hasa wale wafuasi wao,(kina mama) ni ngumu kujua hilo, sana sana lazima wataona kuwa serikali ina llea, tatizo, na ndio maana hata kwenye barua ya serikali wamelisema hilo. Ni tapeli tu, na mtaji wao ni wananchi wengi walio kosa matumaini ya maisha.
Najiuliza,watanzania wamekuwa wajinga kias gn? Wameshindwa kutambua uongo wa wazi wa yule jamaa.. eti jamaa anafufua watu kirahisi tu kwa kumpigia simu. Alizidi uongo, nadhani hata akina mwamposa hawajafikia hatua ya kuhadaa namna ile
 
Kuna Kila kukicha wanahubiria waumini wao kuwa wanaowamaliza ni mashangazi zao...!!
Hii nimeshawahi kusema. Ni kusambaza uchonganishi katika jamii.
Kuna Dreva mmoja wa Gari ya mizigo alinipa stori. Ndugu zake wanamchukia na wamevurugana kisa mmoja wa unabii maarufu kimara aliwaambia yeye ndiye anawaloga. Alienda kwa unabii kuconfess kuwa hausiki na kama anauhakika wamtolee huo uchawi awe mtu Mwema wakamfukuzia malango I.

Sasa bila kuwa na moderators kwenye hizi kanisa wanaweza kuchochea chuki na kuharibu jamii kwa visingizio vya unabii na ushirikina usio na ushahidi.
 
Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.

Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.

Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.

Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.

Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
Huyu alikuwa anavuka mipaka na alichokuwa anakifanya ni utapeli, udhalilishaji na unyanyasaji wa kihisia wa wafuasi wake. Unaweza kuwa sawa kwenye baadhi ya uliyosema ila huyu ni janga ziadi ya wenzie.
NB: Nakuunga mkono pia kuwa wale wengine wa aina yake nao ni muhimu wakafungwa spidi gavana kwani wanayofanya yanatia mashaka sana.
 
Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.

Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.

Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.

Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.

Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
Political connection, kamaaliyo nayo jambazi mwamposa, ahukue tu kadi ya ccm, au achangie kampeni za Mama kizimkazi, ghafla Mambo yote yatakuwa sawa.
 
Mambo ya Imani ni OPIUM yaan kwa Sasa ✍️ ni very complicated nimeona mengi nimeshuhudia mengi na mengineyo..

Uchawi, ushirikina,mapepo,majini vipo na vinaishi..

Kikubwa Ni kuliamini jina lipitayo majina yote ""YESU KRISTO"" Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.
 
Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.

Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.

Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.

Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.

Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
Kwanza ni mgeni, halafu anaharibu madili ya watu akina Suguye na MWAMPOSA ambao wanadeal na akina Makonda. Biteko pia haukumwona Kwa Suguye? Iweje aendelee kusumbua? Akwende zake. Hii nchi ngumu sana.
 
Back
Top Bottom