Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

professional ethics

Senior Member
Joined
Dec 24, 2023
Posts
108
Reaction score
350
Hope wote ni wazima wa afya.

Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto.

Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya kumi na Moja, dawa hizi Zina side effects mbaya sana, kuchefuchefu, mandoto mabaya yaani tabu tupu.

Hakika dozi ikiisha mm na ngono maji na moto.
 
Unao tu huo na dawa zinauchochea tu.

Mkiambiwa uasherati na uzinzi ni uchafu ,msiukaribie, mnaona mnadanganywa.

Kiranga komo.
 
Ebu fuatilia huu uzi
 
Huwezi kuikwepa ngono mpaka pale utakapo amua rasmi kukata hicho kiabdala kichwa genye
 
kama kweli vileee. itakukalia pisi hapo utajisemea liwalo na liweee.
Hizi mambo yafaa ukane nafsi na mwili
 
Utafanya tu
 
Mungu akusaidie ukimaliza ufe tena kabla hujakumbuka kutubu ufe kifo cha aibu. Kipindi unamla huyo maiti mwenzio ulikuja kusema hapa mbona leo unapitia mateso ndio useme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…