Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

😄😄 acha kujiapiza uwongo, labda uikate hiyo dudu
Hope wote ni wazima wa afya.

Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto.

Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya kumi na Moja, dawa hizi Zina side effects mbaya sana, kuchefuchefu, mandoto mabaya yaani tabu tupu.

Hakika dozi ikiisha mm na ngono maji na moto.
 
Unashindwaje kumwita mkapima ili kutoa hofu..una miaka mingapi
 
T.L.D unalalamika je ungeikuta enzi za T.L.E ......

uNgefanyaje maana sio kwa mtiti wake
 
Una ujasiri wa kúla barmaid kavu halafu ndoto na kichefuchefu ndiyo zikupe shida!
 
Msome tena post namba moja:

Siwezi kusoma thread ya mwanamke asie na mvuto kwangu
 
Hope wote ni wazima wa afya.

Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto.

Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya kumi na Moja, dawa hizi Zina side effects mbaya sana, kuchefuchefu, mandoto mabaya yaani tabu tupu.

Hakika dozi ikiisha mm na ngono maji na moto.
fànya ngono salama. tumia Kinga au pima kwanza afya na mwenza wako kabla ya kusex. Vinginevyo utakufa mapema maana kufinya ni rahaa huwezi acha. Usidanganye hilo ni wenge
 
Back
Top Bottom