Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

Hope wote ni wazima wa afya.
Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto.

Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya kumi na Moja, dawa hizi Zina side effects mbaya sana, kuchefuchefu, mandoto mabaya yaani tabu tupu.


Hakika dozi ikiisha mm na ngono maji na moto.
Acha hizo pep unapoteza muda, anzq ARV uimarishe kinga, HIV oyee.
 
Alikubali kabisa nikampime, lakin badae nikasema acha nitumie tu pep mana Kuna Dr alinambia kuwa Kuna watu wao ni Carrier wa virus hata upime aje huoni muda huo huo akasema kama akitumia pombe sitaweza kuona double line... Baada ya maelekezo haya Nika mkblock yule manzi hadi Leo.
Okay ila ungepima tu hata kama majibu yangekuwa negative ungeendelea na dawa ila unakuwa kuna namna stress na hofu zimepungua kidogo.
 
Back
Top Bottom