Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

Unao tu huo na dawa zinauchochea tu.

Mkiambiwa uasherati na uzinzi ni uchafu ,msiukaribie, mnaona mnadanganywa.

Kiranga komo.
Binti inaonekana hujawahi kuonja pombe. Pombe ikishahamia kiunoni akili nayo inaifuata huko huko.
Na asikuambie mtu kwamba ana uwezo wa kuji kontrol labda Kama Hana nguvu adimu.
 
Hope wote ni wazima wa afya.

Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto.

Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya kumi na Moja, dawa hizi Zina side effects mbaya sana, kuchefuchefu, mandoto mabaya yaani tabu tupu.

Hakika dozi ikiisha mm na ngono maji na moto.
Mpime huyo ulolala naye acha uoga, kupata ukimwi sio rahis kama corona jomba
 
Hope wote ni wazima wa afya.

Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto.

Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya kumi na Moja, dawa hizi Zina side effects mbaya sana, kuchefuchefu, mandoto mabaya yaani tabu tupu.

Hakika dozi ikiisha mm na ngono maji na moto.
Haujaambikizwa ukimwi kinachokusumbua wew ni uoga
 
Ndio mwanawane starehe nambari one ni kugegeduana.
Ila jamni angalizo mie mwenzu u humu jf napiga tantalila sasa mkiukwaa huko msije sema mzabzab katushauri tupige kavu. Niwaambie kabisa mie ni board member wa chaputa🤣🤣🤣🤣
Ndio shida ya jf ila za kuambiwa mix na zakwako😂
 
Ni kweli...ila bibi wewe ni umri tu unakusaidia. Ulipokuwa kigori inaonesha ulikuwa unapelekewa moto balaa.
Uzuri wa enzi hizo ugonjwa maarufu ulikuwa ni gono tu.
Miss JF 2023 FaizaFoxy.

AlhamduliLlah, Ma shaa Allah
mume wangu mpaka leo anapeleka moto siyo wa kawaida.

Wacheni uasherati na uzinzi unawatia umasikini.
 
Back
Top Bottom