Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

Ungwa u-moto Mramu!
 
🤣🤣
 
Ligi ndogo nimewaachia watoto ,Mimi nacheza huku bundasiliga
Starehe tamu duniani ni ...
1. Kutafuta hela/kuwa na hela
2. Kutomban(a) sio kutomb(a) ni KUTOMBAN(A).

Yaani umpate mdada anayejua Kazi yake ya kitandani huku mfukoni una laki kadhaaa weeee Asikwambie mtu unamwaga hadi ubongo.!!!

Sio gogo kila kitu wafanya wewe mwanaume.

FaizaFoxy

#YNWA
 
We endelea kupambana hapo local government
 
Subiri kifo huku unaishi kwa matumaini.

Nakushauri kuwa Muislam usije ukayakosa ya duniani na ahera.
 
Duuuuh kumbe zina mateso hivyo?
Pole sana Mkuu.
Nilikuwa nazisikia tu nikahisi ni simple km pipi ivory tu
 
Anao umempima!?
Msome tena post namba moja:

 
Kimsingi mm niliyapiga chini yakiwa yamebaki 6 baada ya wiki 2 nikapima Niko fiti, nikaachana na mambo ya kupima ila naona kilo zinaongezeka tangu nimeyapiga chini.

Side effects zake ndo zilisababisha nikapiga chini japo baadae nilimcomvise mshukiwa mpaka nikampimisha nikakuta yupo fresh nikamweleza mateso nilo yapitia kwenye hayo madawa.

Skuwahi kuota ndoto za ajabu ila tumbo kujaa gesi, kukosa choo, uchovu + usingizi + kuhisi kutapika baada ya kuyanywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…