Bado siku mbili tu mambo haya yaanze kuwatesa Watanzania

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi ya milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.

2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
 
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. 360 kwa watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.

2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageri ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
Sexless

Please fafanua hapo unaposema

"360 kwa watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu"
 
Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageri ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha.
😂😂😂 Nimecheka sana
 
Nao ni upigaji mwingine, hakuna namna lazima tukamuliwe kwa kisingizio cha afya
 
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. 360 kwa watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.

2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageri ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
Kuhusu point yako ya pili, nakushauri uache kuandika mambo ambayo huna uelewa nayo. Utekelezaji wa mtaala mpya unaanzia ngazi ya msingi, sio kama huo ushuzi wako ulioandika hapo.
 
Mpango wa Bima ya maisha ya afya ni kodi ya kichwa ya mchongo!imerudi kwa style nyingine Ili tulipe madeni yaliyokopwa na serikali!!

Ishu ya mtaala mpya !tumechelewa sana haya yalipaswa yaanze miaka kumi nyuma!!
 
Sexless

Please fafanua hapo unaposema

"360 kwa watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu"
Nilisahau kuweka 000 . Kwa mujibu wa sera ya mpango wa afya kwa wote kila watu 3 kwenye familia watapaswa kulipiwa sh 360,000/= kwa mwaka.

Piga mahesabu familia yako Ina watu wangapi?
 
Hata kwa wenye bima za afya wanazolipiwa na waajiri wao?
 
Kuhusu point yako ya pili, nakushauri uache kuandika mambo ambayo huna uelewa nayo. Utekelezaji wa mtaala mpya unaanzia ngazi ya msingi, sio kama huo ushuzi wako ulioandika hapo.
Tatizo hujui mm ni nani? Angalia muda niliyofungua uzi. Unadhani nilitoka wapi muda huo? Tusichukuliane poa.
 
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.

2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
RIP Elimu
 
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.
Kama ni sheria basi itavunjwa na si kwa kupenda bali kwa umaskini wetu, yaani nilipie bima wakati sina uhakika wa msosi wangu wa siku, kipi kina umuhimu.
 
Back
Top Bottom