Inayotakiwa ni NHIF mkuu, angalia vizuri kwenye barua yako ya ajira inasemaje, sema huwa hatusomi tunakimbilia kuangalia figure ya salary pekee, hakuna bima ya bure, hapo unalipiwa sababu ni mtumishi wao, acha kazi uone kama wataendelea kukulipia.Wapo/tupo mkuu mwajiri hagusi salary ya mtu na even kwenye salary amount negotiation huwa haipo inakuja tu automatically mwajiri anaingia mkataba na companies kama jubilee, strategies, na zingine ila sio nhif.
Serikali inayoongozwa na wezi ndivyo inavyokuwa.1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.
2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
Umeitoa wapi hii?Nilisahau kuweka 000 . Kwa mujibu wa sera ya mpango wa afya kwa wote kila watu 3 kwenye familia watapaswa kulipiwa sh 360,000/= kwa mwaka.
Piga mahesabu familia yako Ina watu wangapi?
Anamaanisha 120,000/= kwa kichwa.Sexless
Please fafanua hapo unaposema
"360 kwa watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu"
Wanafunzi wanaoenda anza na mkondo wa Juzi mbalimbali hawa zidi 1500...Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
Yani ni 10,000/- kwa kichwa kila mwezi...Anamaanisha 120,000/= kwa kichwa.
Nadhani ndicho anachomaanisha.Yani ni 10,000/- kwa kichwa kila mwezi...
Utapata matibabu
Naunga mkono hojaWatoto wa maskini wataishia kujifunza kufyatua matofali, kuoka mikate dadeq 😛😛 inachekesha ila ndiyo hali halisi - wakati wa ukweli tuambiane ukweli.
Naunga mkono hojaWatoto wa maskini wataishia kujifunza kufyatua matofali, kuoka mikate dadeq 😛😛 inachekesha ila ndiyo hali halisi - wakati wa ukweli tuambiane ukweli.
Naunga mkono hojaSerikali inayoongozwa na wezi ndivyo inavyokuwa.
Yaani
Wezi wa kura
Wezi wa fedha za umma
Wezi wa rasilimali
Wezi wa elimu
Wwzi wa maendeleo
Ni nchi hatari sana
Mbona hata kanuni za sheria husika hazijatengenezwa,sheria itaanzaje kufanya kazi?Inaanza January, yaani kesho kutwa.
naomba kujua kama kanuni/Regulations imeshatoka?maana sheria ya Bima ya Afya kwa wote inasema kanuni/Regulation itatoa muongozo au utaratibu wa namna ya kuchangia,alafu kama sijakosea Sheria Ilishaatangazwa toka tarehe 01-12-20231. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi ya milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.
2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.