Bado siku mbili tu mambo haya yaanze kuwatesa Watanzania

Watoto wa maskini wataishia kujifunza kufyatua matofali, kuoka mikate dadeq 😛😛 inachekesha ila ndiyo hali halisi - wakati wa ukweli tuambiane ukweli.
Umeangalia on negative perspective hivi katibya huo mtaala na huu unaomuacha mtoto hobela hobela amegraduate ila hana skills zozote za kumpa kipato, upi ni bora?

Changes are scary but are inevitable for sustainable development.
 
  • Thanks
Reactions: len
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi ya milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.

2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
Mm naona haya mambo yote ni sawa tu angalau watu wanaweza kustuka na kuamka kidogo ili wajue kwamba tsherts kofia na nyimbo za taarabu, wakati wa kampeni zinagharama
 
Hiyo Bima ni 30k kwa mwezi.

Ipo sahihi , Tunapokataa ni ujinga weru kwa kweli.

30k kwa mwezi ni sawa na 10k kwa mwezi kwa mtu mmoja.

Buma ya mtu mmoja kwa mwaka ikiwa 120k kuna ubaya gani?

Tuache upumbavu wa kudeka hovyo. Tuchangue sera ya bima, maisha yaendelee.
Kama una familia kubwa hilo ni la kwako wewe kwani uliamua kuweka/kuwekwa mikojo na hukuwa na mipango madhubuti ya kipato.

Tujifunze kuishi kwa bajeti.
Kuna watu wanaisaka hiyo elfu 30 kwa.mwezi hawaipati. Hao nao unawafokea kama sisi?
 
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi ya milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.

2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
"kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki", hizi ndizo fani zenye msnufaa makubwa na ndizo zilizowajenga Makidonadi na Disney Aisikirimu.
Ujenzi wa sasa ni wa kuweka nakshi nje na ndani ya majengo na bei hupimwa kwa muda wa kazi.
 
tunaongozwa na watu wa mizaha mizaha tu, jambo hata kama ni serious kwao wao ni mzaha na siasa siasa.

Issue ya Bima ya Afya na huduma bora za afya + Elimu ni vitu ambavyo havihitaji mizaha wala siasa siasa, bali ni umakini, akili nyingi na hesabu kali.
 
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi ya milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.

2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
Hiyo namba 2 ni ushenzi wa kupiitiliza. Mtoto wa fomu wani hata hajui atachagua nini anaambiwa achague mchepuo? Huu ni uhuni wa serikali ya CCM.
 
Kama ni sheria basi itavunjwa na si kwa kupenda bali kwa umaskini wetu, yaani nilipie bima wakati sina uhakika wa msosi wangu wa siku, kipi kina umuhimu.
Kama hutalipia bima jiandae kufa.....huwezi kutibiwa mahali popote bila kuwa na bima. Nchi ngumu sana hii.
 
Hiyo namba 2 ni ushenzi wa kupiitiliza. Mtoto wa fomu wani hata hajui atachagua nini anaambiwa achague mchepuo? Huu ni uhuni wa serikali ya CCM.
Nashangaa watanzania tumelikalia kimya swala hili. Wanatuharibia wadogo/watoto wetu wakati wao wanapeleka watoto wao kusoma shule zenye mitaala ya kimataifa huko.
 
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila familia italipa zaidi ya milioni moja kwa mwaka kwa ajili ya afya tu. Ngoja tuone.

2. Mtaala mpya. Huu nao utazua utata kwa wazazi wengi sana wenye watoto wanaojiunga kidato cha kwanza mwakani. Mtoto anapaswa kuchagua mchepuo akiwa kidato cha kwanza. Mzazi unaweza kuwa una mpango mwanao aje kuwa mchumi, mwanasheria ama daktari lkn kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki. Unakuja kusituka yuko kidato cha 3 haiwezekani tena kumbadilisha. Ngoja tuone.
Wazazi msiwapangie watoto Cha kusoma
 
Back
Top Bottom