Bado siku mbili tu mambo haya yaanze kuwatesa Watanzania

Watoto wa maskini wataishia kujifunza kufyatua matofali, kuoka mikate dadeq 😛😛 inachekesha ila ndiyo hali halisi - wakati wa ukweli tuambiane ukweli.
Umeangalia on negative perspective hivi katibya huo mtaala na huu unaomuacha mtoto hobela hobela amegraduate ila hana skills zozote za kumpa kipato, upi ni bora?

Changes are scary but are inevitable for sustainable development.
 
Reactions: len
Mm naona haya mambo yote ni sawa tu angalau watu wanaweza kustuka na kuamka kidogo ili wajue kwamba tsherts kofia na nyimbo za taarabu, wakati wa kampeni zinagharama
 
Kuna watu wanaisaka hiyo elfu 30 kwa.mwezi hawaipati. Hao nao unawafokea kama sisi?
 
"kumbe kawekwa mkondo wa kufyatua matofali , kuchomelea mageti ama kuandaa keki", hizi ndizo fani zenye msnufaa makubwa na ndizo zilizowajenga Makidonadi na Disney Aisikirimu.
Ujenzi wa sasa ni wa kuweka nakshi nje na ndani ya majengo na bei hupimwa kwa muda wa kazi.
 
tunaongozwa na watu wa mizaha mizaha tu, jambo hata kama ni serious kwao wao ni mzaha na siasa siasa.

Issue ya Bima ya Afya na huduma bora za afya + Elimu ni vitu ambavyo havihitaji mizaha wala siasa siasa, bali ni umakini, akili nyingi na hesabu kali.
 
Hiyo namba 2 ni ushenzi wa kupiitiliza. Mtoto wa fomu wani hata hajui atachagua nini anaambiwa achague mchepuo? Huu ni uhuni wa serikali ya CCM.
 
Kama ni sheria basi itavunjwa na si kwa kupenda bali kwa umaskini wetu, yaani nilipie bima wakati sina uhakika wa msosi wangu wa siku, kipi kina umuhimu.
Kama hutalipia bima jiandae kufa.....huwezi kutibiwa mahali popote bila kuwa na bima. Nchi ngumu sana hii.
 
Hiyo namba 2 ni ushenzi wa kupiitiliza. Mtoto wa fomu wani hata hajui atachagua nini anaambiwa achague mchepuo? Huu ni uhuni wa serikali ya CCM.
Nashangaa watanzania tumelikalia kimya swala hili. Wanatuharibia wadogo/watoto wetu wakati wao wanapeleka watoto wao kusoma shule zenye mitaala ya kimataifa huko.
 
Wazazi msiwapangie watoto Cha kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…