Bado Siku Sita Peter Shilolile na Genge Lake Waisambaratishe Wachimba Dawa FC

Bado Siku Sita Peter Shilolile na Genge Lake Waisambaratishe Wachimba Dawa FC

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,923
Reaction score
40,246
Wachimba Dawa FC ni timu hodari kwa kujisaidia haja kubwa kwenye viwanja vya watu.

Tarehe 12 August, 2026 ndiyo ile siku ambayo rekodi ya timu kufungwa mabao double digit itaandikwa.

Najua humu kuna wachambuzi uchwara wa mpira, ila swali langu ni kwamba je wataingiza timu?
 
Lakini kweli hata kama ni ushabiki sio kwa kiwango kile tena mchana kweupe mbele ya camera na watu wanalishabikia hadi media kabisa. Pale kuna watu wanaishi hata wasiojua mpira walikumbwa na janga hilo.
Sima msimu wataona cha moto hata tukiwapa under20 wacheze nao maana wana wana akili ya kitoto sana.
 
Simba na Yanga mabenchi ya ufundi(Ushirikina) yana aminika kuliko hata wachezaji unawafikiri wew
Screenshot_20260724_230438_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom