Bado Siku Sita Peter Shilolile na Genge Lake Waisambaratishe Wachimba Dawa FC

Birigimana aliwah kuchezea Newcastle. Mkataba mlimpa wa miaka 2 ila hata mmoja hakumaliza... na Kesi akawafungulia mmlipe hela zake.

Sijasema hiki ndicho kitakachotokea kwa Shalulile.
Tulieni muone mziki wa PETER.

Kuna mchezaji mmoja wa AZAM amekubali kula ugali na sukari ili mradi apate makombe
 
Uongozi wa Azam ulichukia sana siku ile yeye kutolewa kwa kadi nyekundu, na zile kauli za kuwa marefa hawakuwa fair na kutaka kuhamia ligi ya Znz.

Azam wakifungwa na Yanga wanachekelea.
Wakifungwa na Simba . Wanachukia hadi kuamua kufanya biashara hii ili kuwaumiza Simba, kwasababu Simba nao wanalikuwa wanamtaka.
 
Msipoangalia mtashuka daraja msimu ujao
 
Hadi sasa simba inajivunia usajili wa dirisha dogo lililopita huku Yanga ikijivunia usajili wa dirisha hili kubwa la msimu huu.
 
Birigimana aliwah kuchezea Newcastle. Mkataba mlimpa wa miaka 2 ila hata mmoja hakumaliza... na Kesi akawafungulia mmlipe hela zake.

Sijasema hiki ndicho kitakachotokea kwa Shalulile.
Ni uonevu mkubwa sana kumlinganisha Peter Shalulile na Gael Bigirimana. Mimi hata asipofunga msimu mzima, bado nitaendelea kumheshimu kwa mafanikio yake ya kipindi anaichezea Mamelodi.
 
Kumbe hizi mambo za Simba na yanga bado zipo!!!!!!!!!!!

Timu hazina hata uwanja miaka 90.
Shame.
 
Back
Top Bottom