MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Wewe una timu ya kuifunga Yanga?Mna timu ya kumfunga simba sasaivi?
Ngoja Kalpana ajeWachimba Dawa FC ni timu hodari kwa kujisaidia haja kubwa kwenye viwanja vya watu.
Tarehe 12 August, 2026 ndiyo ile siku ambayo rekodi ya timu kufungwa mabao double digit itaandikwa.
Najua humu kuna wachambuzi uchwara wa mpira, ila swali langu ni kwamba je wataingiza timu?
Siyo kwa wachezaji hawa wapya wa YANGAHizi mechi huwa zinaamuliwa kwa kiasi kikubwa nje ya uwanja
Unaweza kushangaa shalulile anaamka na mafua siku hiyoSiyo kwa wachezaji hawa wapya wa YANGA
Siyo tarehe 12Unaweza kushangaa shalulile anaamka na mafua siku hiyo
Timu yenye waganga machachari zaidi ndiyo itashinda, umesikia wameshaanza kujinasibu wataingia na ungo uwanjaniSiyo tarehe 12
Ametokea SA huko wanaamini SANGOMA kuliko mitume
Uchawi hauna nafasi kwenye modern footballTimu yenye waganga machachari zaidi ndiyo itashinda, umesikia wameshaanza kujinasibu wataingia na ungo uwanjani
Kwa African football bado una nafasiUchawi hauna nafasi kwenye modern football
Ata wakienda kufukia TEMBO pale Aman Stadium watakula 12, tunawapiga dozen moja wakikaa vibaya carton moja 24Kwa African football bado una nafasi
Goli 12 imekuwa basketball mkuuAta wakienda kufukia TEMBO pale Aman Stadium watakula 12, tunawapiga dozen moja wakikaa vibaya carton moja 24
Strikers za Yanga ukikaa vibaya kila dakika moja unaokota mpira kwenye nyavuGoli 12 imekuwa basketball mkuu
Goli haziwezi kuwa nyingi hivyo, mechi za watani wa jadi haziwi rahisi hivyo, wachezaji wanajituma kufa na kuponaStrikers za Yanga ukikaa vibaya kila dakika moja unaokota mpira kwenye nyavu
Kuwa na huruma kaka.Strikers za Yanga ukikaa vibaya kila dakika moja unaokota mpira kwenye nyavu
Birigimana aliwah kuchezea Newcastle. Mkataba mlimpa wa miaka 2 ila hata mmoja hakumaliza... na Kesi akawafungulia mmlipe hela zake.Strikers za Yanga ukikaa vibaya kila dakika moja unaokota mpira kwenye nyavu