Uchaguzi 2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

Unaambiwa baadhi ya wagombea ubunge wa CCM akiwemo Mwigulu wameamua kuacha kampeni na kujichimbia kwa DED kupanga njama tu

Sasa hii meseji ya sheikh Ponda kama imewafikia " progressive muslims" wengi basi CCM iongeze sana jitihada za kuiba kura!!
 
Unapata tabu Sana bado siku tatu tu upotee jukwaani halafu ukirudi utakuja na kulialia Tena na visingizio kibao wakati tundu Lissu akiwa kesharudi kwa beberu lake Amsterdam .
 
Inasemekana leo ilikuwa Jumamosi ya mwisho chini ya utawala wa CCM. Ni siku muhimu sana kwa historia ya taifa letu.

Vyovyote itakavyokuwa, 28/10/2020 itakuwa siku itakayoibadilisha Tanzania forever!
Inasemekana wapi na Nani huyo?
 
Sasa Kama umeona CCM haiwezi kushinda, tuambie umeona chama gani kitashinda?
 
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu KAMWE hawezi kushangilia ushindi HARAMU wa kubebwa na tumeccm na polisiccm.
Ushindi bado upo pale pale mkuu
 
Hakunaga ushindi haramu. Tume ingekua ya ccm akina mbowe,mdee etc wasingekua wabunge
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu KAMWE hawezi kushangilia ushindi HARAMU wa kubebwa na tumeccm na polisiccm.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Mkuu unakurupuka sana mmeshasema tumeccm na polisiccm. Sasa kama tume ni ya ccm hao wasingekua wabunge hata kabla ya magufuli
Walikuwa wabunge kabla ya huyu mlevi wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…