Uchaguzi 2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

Ndoto ni kitu kizuri, keep on dreaming
 
Shetani ccm hatimaye kung'oka rasmi 28/10/2020.
 

Ccm ikishinda na hakuna konsekwensez utajisikia kama mgonjwa for the next 5 years.

Pole koz ccm inashinda anyway
 
Inasemekana leo ilikuwa Jumamosi ya mwisho chini ya utawala wa CCM. Ni siku muhimu sana kwa historia ya taifa letu.

Vyovyote itakavyokuwa, 28/10/2020 itakuwa siku itakayoibadilisha Tanzania forever!
Umenifurahisha sana ndugu, tunaomba ikawe hivyo. CCM kwa sasa imekosa mvuto kwa wananchi walio wengi kabisa. Wachache wanaopiga kelele ni wale wachumia tumbo wanaonufaika kujaza matumbo yao tu.
 
Bila figisu CCM hii hawatoboi.ccm ya kina Mkapa Na JK ndio walikuwa Wana uwezo wa kushinda upinzani kihalali.Kuna madudu kibao yanaendelea ili kuibeba CCM.

Cha kushangaza katika hizo chaguzi mlilia kuibiwa kura pia..... kama mtakavyojiliza kuanzia alhamisi
 

Ikulu ya Singida
 
Kwa huu upinzani dhaifu kutoka ubeligiji, Ccm itaendelea kushinda kwa miaka miamoja ijayo
 
Hao wabachama 15m unaowataja, kumbuka wamo wa bukoba, yaani walionyimwa fedha za maafa kutoka kwa "mabeberu" wamo wa mtwara,wale wslioporwa korisho, wamo wafanyakazi waliokosa nyongeza ya mishahara, wamo waliobomolewa nyumba, wamo waliotumbuliwa, wamo waliopotezewa ndugu zao, wamo wakina mama "WEUSI" ambaa magu ameshawabagua, wamo wahanga "kibao" na wakati huo hujui idadi ya wanachama wa chadema, wakati huo hujui waliobaki na ccm ya kinafiki kwa kuchoka visa vya magu.

Wewe jifariji tu!
Three days only..................[emoji352]
 
Huu ni uongo mtupu Nchi nyingi za kiafrika COVID19 haikuwa na athari kubwa kama Western countries na huko huyo anayejiita MWENDAWAZIMU hakutia mguu kwenda kuibamiza.

Tulipokuwa tunamponda kwa strategy zake tulimuita hana akili....

Ameshinda hana akili....

Mnasahau corona ilipokuwa mtaji wa kisiasa
 
Wakati mwingine huwa mnawaza kwa kutumia MASABURI ama?
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezu kuwaza huo utopolo na ndio maana hata huyo TUNDU ana tiketi ya kurudi UBELIGIJI kwa mabwana zake maana anajua anaangukia pua asubuhi tu.

Chadema ikifikisha wabunge kumi bungeni safari hii ikatambike. ACT Wazalendo ndio ndio chama kikuu cha upinzani 2020 na wabunge wake wengi ni kutokea Zanzibar
 
Lisu lisu
Your browser is not able to display this video.
 
Uchaguzi wa vyama vingi ulianza 1995
Sasa kama tume ni ya ccm wapinzani si mgomee chaguzi zote. Hamueleweki mara nyerere aliwavusha vizuri,mara mkapa jiniasi etc ila mnahesabu miaka yote 60 daah
 
Inasemekana leo ilikuwa Jumamosi ya mwisho chini ya utawala wa CCM. Ni siku muhimu sana kwa historia ya taifa letu.

Vyovyote itakavyokuwa, 28/10/2020 itakuwa siku itakayoibadilisha Tanzania forever!
Wakati mnatapika upuuzi mtandaoni ni vema kukumbuka kwamba:
1. mpaka dakika hii CCM ina wabunge wanaosubiri kuapishwa 28 na madiwani zaidi ya 800 waliopita bila kupingwa.
2. Ccm ndicho chama pekee kati ya 15 kinachomiliki vifaa vyote vya uchaguzi vikiwemo vituo vyote na mfumo wote wa upigaji kura, ulinzi wa kura na utangazaji wa washindi wa uchaguzi.
3. Katiba inayotumika na iliyotumika chaguzi zote zilizopita bado ni ile ile haijabadilika.


Thukutane uwanja wa jamuhuri Dodoma siku kuapishwa raisi JPM hapo tar 30 October kama sijakosea tarehe yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…