Uchaguzi 2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

Unaambiwa baadhi ya wagombea ubunge wa CCM akiwemo Mwigulu wameamua kuacha kampeni na kujichimbia kwa DED kupanga njama tu
Mwingulu nchemba mzee wa vyeti feki kapiga kura feki anazo masanduku kibao anasubiria siku ya uchaguzi afanye uchakachuaji bila Aibu
 
Ashukuriwe magufuli kwa kuibamiza corona
Nasoma coomment zako afu nakuona mwanamke usiefikiria kwa kuwa unahongwa, Kati ya Mungu na mgufuli nani aliitoa covid tz hauna akili we umbwa na usiwah kunfananisha huyi kima na Mungu ama nyerere
 
Wanaccm wengi wameteswa wafanyabiashara wakubwa na hata watu wa kawaida wameporwa pesa zao walizotumiwa toka nje ya Nchi, BOT imeongeza chuki kubwa kwa CCM, wafanyabiashara kubambikiwa kodi kubwa za TRA kupewa kesi za uhujumu uchumi, utakatishaji pesa na mambo mengi ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa lakini yanawanufaisha watesi kibinafi, CCM wengi wametaabika wameteseka sana usidhani mateso ya mtukufu kaburu Mkoloni mweusi ni kwa wapinzani pekee
 
Ndio Akili za Wajinga zilivyo Kutwa kudanganyana na Wajinga wenzie Wakifuata Upepo
Endeleeni Kulisha matango poli
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Heri james na polepole kazi yao kubwa ni kupiga pesa za CCM kwa kisingizio cha kuzitumia kurejesha mfumo wa chama kimoja, waliingia CCM wakiwa ni masikini wakubwa lakini sasa ni matajiri wakubwa
 
Halaf Mgombea wao hajui hata Kiingereza sijui nani atamtetea akianza kula kichapo cha Jumuiya ya Kimataifa
 
Kama mngekuwa na wanachama wote hao kwann huwa mnasomba watu kwenda kwenye mikutano yenu, mfano mkutano kama unafanyika mwanza yani mnasomba watu kutoka Misungwi, magu, ngudu, shinyanga, sengerema ukerewe, geita lamadi hadi bunda ili mjaze watu
 
Ccm inakwenda kupigwa saa 3 asubui sababu wamekiuka like zindiko la kuacha kukimbiza mwenge. Shirki ya maagano ya makafara pangoni bagamoyo dhidi ya forozo ganze ilishindwa kuona kiashiria Cha corona.
 
Hili jitu mwaka huu halina nafasi ndani ya mioyo ya watanzania,yaani mpaka watu wa nalasi,mbati,mbesa wanaikataa ccm.
Aaah Mkuu umenikumbusha pande hizo Nalasi, mchoteka, Njenga, wenje, mnemasi na Likweso hatari sana hadi huko hawaitaki ccm ? Kwisha habari yake
 
Hizo ni propaganda tu

Uko kwenye propaganda mpaka ukweli ukisemwa ndio unauona ni propaganda! Kwa taarifa yako haya ninayokuambia nina ushahidi nayo. Sina chembe ya shaka ya ninachokisema.
 
Shosti hasira za kupapaswa marinda usiniletee mie pelekea hio umbwa yako inayokuhonga sio kila mtu anahongwa kama wewe
Nasoma coomment zako afu nakuona mwanamke usiefikiria kwa kuwa unahongwa, Kati ya Mungu na mgufuli nani aliitoa covid tz hauna akili we umbwa na usiwah kunfananisha huyi kima na Mungu ama nyerere
 
Huo ushahidi ndio uliomuua yule binti mkisingizia mmeibiwa mwisho wa siku mtu mwenyewe karudi kambini
Uko kwenye propaganda mpaka ukweli ukisemwa ndio unauona ni propaganda! Kwa taarifa yako haya ninayokuambia nina ushahidi nayo. Sina chembe ya shaka ya ninachokisema.
 
CCM itashinda kwa kishindo! Mhe.JPM miaka mitano ya kwanza kaweka sawa msingi sasa anakuja na ustawi wa wananchi! Kwanza ilikuwa kukuza uwezo wa Serikali,miradi ya kimkakati ikiwemo miundombinu, umeme, TEHAMA, madini, viwanja vya ndege, reli Barabara, umeme wa uhakika , huduma za msingi za jamii ikiwemo afya, elimu, maji nk. Sasa ni kujenga juu ya hayo mfano Bima za Afya, mafao, madawa na vifaa tiba (ndani ya hospitali siyo kwenye mwembe), maslahi kwa watumishi nk
 
Unafiatilia kampeni kupitia account twiter ya kigogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…