Bado SSC anayo Nafasi ya Kucheza Robo Fainali

Bado SSC anayo Nafasi ya Kucheza Robo Fainali

Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?
 
Attachments

  • IMG-20231210-WA0027.jpg
    IMG-20231210-WA0027.jpg
    57.6 KB · Views: 3
Kwanza Wydad hawana kikosi cha ajabu, kuna game ya ugenini lazima apoteze.

SSC ijitahidi kushinda game zote za Home na akienda Asec kwa SSC hii, atafute ushindi au afanye droo.

Bado matumaini ni makubwa sana
Matumaini kimahesabu yapo, inabaki kuyageuza kuwa halisi. Hiyo ndo kazi ya Wachezaji na benchi la ufundi.
 
Mim ni Yanga lakini Simba ana nafasi zaidi kwenda robo kuliko Yanga.
Ipo hivi
Simba anapambania nafasi moja iliyobaki baada ya Asev kuchukua moja.

Nafasi ilibaki Simba anapambania na Waydad pekee , Waydad ambao ni wa kawaida na wamebakiza game moja pekee home.

Simba akimpiga Waydad Kwa Mkapa , akimpiga na Galaxy anakuwa amemaliza kaz.
 
Kwanza Wydad hawana kikosi cha ajabu, kuna game ya ugenini lazima apoteze.

SSC ijitahidi kushinda game zote za Home na akienda Asec kwa SSC hii, atafute ushindi au afanye droo.

Bado matumaini ni makubwa sana
Nafasi ngumu wydad naye akishinda mechi zote ukiacha ya simba atakuwa na point 9 head to head itaamua
 
Back
Top Bottom