Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

This logical fallacy is called the problem of induction.

Kwa kuwa Bombay imebadili jina si lazima na sisi tubadili.

Bombay ilikuwa wrong pronounciation of Mumbai. Wana haki ya kubadili jina.

Mji wa Dar es salaam, kama mji, umeanzishwa na Sultani. This is a historical fact. Hata ukibadikisha jina hiyo historical fact huifuti.

What's next? Mtataka kuondoa maneno yote yenye mzizi wa Kiarabu kwenye Kiswahili?
Fort Bragg ilibadilishwa jina na utawala wa Biden kwa sababu ya kumbukumbu mbaya ya uasi wa mwenye hilo jina.
 
Hapa hatuwezi kuelewana, you are very narrow minded you are thinking subjectively

Seems you would be ok if Sultan culstrated yo grandpa for the sake of slave trade profits
Hatuwezi kuelewana kwa sababu huwezi kufuatilia hoja.

Umefanya logical fallacy ya false dichotomy.

Nakuonesha hapa umefanya logical fallacy ya false dichotomy, badala ya kujifunza, unafanya logical fallacy nyingine ya strawman argument na logical fallacy ya kunitusi kwa ad hominem attack.

Hatuwezi kuelewana.

Posts zako zimejaa logical fallacies.
 
Sultani alichukua eneo kimabavu hana hadhi yoyote ya kusifiwa kuanzisha mji, kwao alikotoka ni uarabuni.

Hao masultan wamechukua babu zako kuwauza sehemu nyingi duniani, Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa babu zetu waliopelekwa uarabuni walikatwa viungo vya uzazi ndio maana leo hii ni ngumu kukuta vizazi vya watumwa uarabuni
Mkuu ondoa chuki binafsi utafika mbali sana..
 
Fort Bragg ilibadilishwa jina na utawala wa Biden kwa sababu ya kumbukumbu mbaya ya uasi wa mwenye hilo jina.
Kubadili jina kila sehemu kuna sababu zake za kihistoria.

Trump kabadili mpaka Gulf of Mexico kaiita Gulf if America.

Na wewe utataka kumuiga uibadili bahati ya Hindi uiite bahari ya Tanganyika?
 
Sultani kauziwa ardhi mjini na Jumbe Tambaza ndiyo kajenga chuo cha Uislamu hiyo Ikulu ya Dar na maeneo ya mjini.

Kasome historia ujielimishe kabla ya kukurupuka.
Jumbe Tambaza itakuwa alirubuniwa tu, hakuwa anajua anachokifanya,
 
Kubadili jina kila sehemu kuna sababu zake za kihistoria.

Trump kabadili mpaka Gulf of Mexico kaiita Gulf if America.

Na wewe utataka kumuiga uibadili bahati ya Hindi uiite bahari ya Tanganyika?
Mleta uzi kaweka sababu zenye mashiko.
 
Wengi hatujui maana ni lugha aliyotumia Sultani aliyekwishafukuzwa

Yafaa zaidi jiji liitwe kwa maneno asili ya hapa hapa kwetu
Kwahiyo na Kiswahili tuache kukitumia? Maana asilimia zaidi 75 ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu na Kihindi.
 
Mleta uzi kaweka sababu zenye mashiko.
Sababu gani?

Ukibadili jina la mji Dar es salaam unatatua matatizo gani? Unatengeneza matatizo gani? Kwa gharama gani?

What is the cost benefit analysis of this exercise?
 
Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan

Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, masultan wameuza na kutumikisha kikatili babu zetu, wapo waliolimishwa mashamba Zanzibar,
Tuanze na wewe kwanza, jina lako nani, Sudi au John? Hilo ndio jina laasili yako? Na baba, mama na ndugu zako je?

Anzia huko halafu ndio uje hapa
 
Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan

Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."

Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, masultan wameuza na kutumikisha kikatili babu zetu, wapo waliolimishwa mashamba Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s

View attachment 3250594

Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Twaelewa maana ya dar es salaam; ni bandari salama”. Je, maana ya mzizima ni nini mkuu.
 
Kwahiyo na Kiswahili tuache kukitumia? Maana asilimia zaidi 75 ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu na Kihindi.
Hawa watu wanachekesha sana.

Wana matatizo lukuki ya kweli, yanayohitaji ufumbuzi, yanayohitaji bajeti, hawajayatatua, mengine hata hawajaanza kuyatatua.

Halafu hapohapo, wanajitungia matatizo ambayo hayapo, wanataka kuyatatua hayo.

Ujinga mtupu.
 
Sababu gani?

Ukibadili jina la mji Dar es salaam unatatua matatizo gani? Unatengeneza matatizo gani? Kwa gharama gani?

What is the cost benefit analysis of this exercise?
Jina la mji ni nembo ya taifa. Mwenge nao unachukuliwa kama nembo ya taifa, unakimbizwa kwa mabilioni ya pesa lakini hautatui matatizo yoyote.
 
Hatuwezi kuelewana kwa sababu huwezi kufuatilia hoja.

Umefanya logical fallacy ya false dichotomy.

Nakuonesha hapa umefanya logical fallacy ya false dichotomy, badala ya kujifunza, unafanya logical fallacy nyingine ya strawman argument na logical fallacy ya kunitusi kwa ad hominem attack.

Hatuwezi kuelewana.

Posts zako zimejaa logical fallacies.
Mtanzania akienda ulaya anakuwa na ka ushamba flani ka kutumia kiingereza kingi kilichojaa jurgons, sijapotosha hoja yako kwa madhumuni ya kukushambulia (strowman fallacy), hizo ni facts huyo Sultan kabeba historia iliyoumiza waafrika, mtizamo wako ni mwembamba unafikiria kwa hisia zako probably kwa imani yako usianze kujitetea ad homen crap

Funny how historical pain is acknowledged selectively, I bet unaweza kuishi mji unaitwa abeed kisa ni jina la kiarabu ila huwezi kuishi mji ukiitwa carl peters
 
Jina la mji ni nembo ya taifa. Mwenge nao unachukuliwa kama nembo ya taifa, unakimbizwa kwa mabilioni ya pesa lakini hautatui matatizo yoyote.
Huo mwenge nao ni ujinga mtupu.

Kwanza uwe na taifa halafu ndiyo uwe na nembo ya taifa.

Sasa wewe huna taifa unataka nembo ya taifa?
 
Hawa watu wanachekesha sana.

Wana matatizo lukuki ya kweli, yanayohitaji ufumbuzi, yanayohitaji bajeti, hawajayatatua, mengine hata hawajaanza kuyatatua.

Halafu hapohapo, wanajitungia matatizo ambayo hayapo, wanataka kuyatatua hayo.

Ujinga mtupu.
Mkuu akili ni nywele. Huenda uwezo wao wa kufikiri ndio huo, kwamba Dar ikiitwa Mzizima basi shida ya maji, imeme, barabara nk. itakuwa imeisha!
 
Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan

Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."

Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, masultan wameuza na kutumikisha kikatili babu zetu, wapo waliolimishwa mashamba Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s

View attachment 3250594

Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Mimi ni muumini wa historia na napenda sana majina ya sehemu yabaki kama yalivyokuwa ili tuweze kujua historia yetu. Hata mitaa ya Dar sidhani kama ilikuwa busara kubadilisha majina ya enzi zile. Nyumba pia walibomoa kwa makosa.
 
Mkuu akili ni nywele. Huenda uwezo wao wa kufikiri ndio huo, kwamba Dar ikiitwa Mzizima basi shida ya maji, imeme, barabara nk. itakuwa imeisha!
Hizi ni kasumba za Identity Politics tu.

This can be a big distraction from real issues.

Na afadhali hata uanze mambo ya Identity Politics wakati ushaendelea kiuchumi.

Wewe masikini bajeti ya afya haitoshi. Unataka ukate hiyo bajeti ya afya uipeleke kwenye project ya kubadili mji jina?

Ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom