imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litaendelea kuitwa hivyo hivyo linavyoitwa
Kwa hiyo umekubali Sultani hakuchukua ardhi kimabavu?Kama ni kuuza ardhi hata chief Mangungo alimuuzia Carl Peters, jielimishe
Kwani Dar ni jina la Sultani?Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, babu zetu walienda Zanzibar kulimishwa karafuu, wengine walienda Marekani nafuu yao waliruhusiwa kuwa na watoto, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta waafrika wenye babu zao waliotumikishwa, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Na wewe mbona bado unajiita round kick. Hilo si jina la utumwani?😎Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, babu zetu walienda Zanzibar kulimishwa karafuu, wengine walienda Marekani nafuu yao waliruhusiwa kuwa na watoto, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta waafrika wenye babu zao waliotumikishwa, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Naunga mkono hoja, ila hapa tegemea mpambano mkali sana kutoka kwa Mohamed Said FaizaFoxy Malaria 2Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, masultan wameuza na kutumikisha kikatili babu zetu, wapo waliolimishwa mashamba Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Jerusalem.sehemu gani official inapaita hivyo
Jumbe Tambaza hakuwa na haki ya kuuza ardhi kwa masultani waliotesa wenzake.Kwa hiyo umekubali Sultani hakuchukua ardhi kimabavu?
Chief Mangungo hata hakujua lugha ya aliosaini mkataba nao.
Jumbe Tambaza aliongea Kiswahili sawa na Sultani, wote Jumbe na Sultani walikuwa Waislamu, Jumbe Tambaza alisoma Uislamu na kujua kusoma na kuandika Kiarabu.
You are comparing apples to oranges.
Bandari salama hiyo..Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, masultan wameuza na kutumikisha kikatili babu zetu, wapo waliolimishwa mashamba Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Vipi na kiswahili?Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, masultan wameuza na kutumikisha kikatili babu zetu, wapo waliolimishwa mashamba Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Bombay ilibadilishwa kuwa Mumbai,Jina la Dar es salaam tulishalikubali, tulikichukua na kulifanya letu, si la Sultani tena.
Ukishikilia kuwa ni la Sultani, wewe ndiye unampa Sultani umuhimu asiokuwa nao.
Pia, kihistoria Dar es salaam kama mji ni mji ulioanzishwa na Sultani. Hiyo ni historia ambayo haifutiki hata ukibadili jina.
Kiswahili ni lugha yenye maneno mengi ya kibantu kuzidi kiarabu,Vipi na kiswahili?
Tuondoe na maneno yote yaliyoletwa na Hao masultan?
Pathetic
Hata huelewi hoja yangu.Jumbe Tambaza hakuwa na haki ya kuuza ardhi kwa masultani waliotesa wenzake.
yani upo bize kuwatetea masultan wakati babu yako angekamatwa kama mtumwa angeng'olewa viungo vya uzazi, kucharazwa viboko mashambani, n.k.
Au umeacha Uchawa siku hiziLitaendelea kuitwa hivyo hivyo linavyoitwa
This logical fallacy is called the problem of induction.Bombay ilibadilishwa kuwa Mumbai,
Instanbul zamani ilikuwa Constantinople
Gold Coast ilibadilishwa kuwa Ghana
Toronto ilikuwa York zamani
Hapa hatuwezi kuelewana, you are very narrow minded you are thinking subjectivelyHata huelewi hoja yangu.
Kwa sababu you are using a one track mindset.
Kwani siwezi kuwa simtetei Sultani halafu pia nikasema Sultani hakuchukua mji kwa nguvu?
Why the false dichotomy logical fallacy?
Upanga pale kuna middle school inaitwa Mzizima, ukienda kariakoo pia kuna mtaa wa Mzizima na maeneo yake unapakata na Mtaa wa Mafiasehemu gani official inapaita hivyo