Fort Bragg ilibadilishwa jina na utawala wa Biden kwa sababu ya kumbukumbu mbaya ya uasi wa mwenye hilo jina.This logical fallacy is called the problem of induction.
Kwa kuwa Bombay imebadili jina si lazima na sisi tubadili.
Bombay ilikuwa wrong pronounciation of Mumbai. Wana haki ya kubadili jina.
Mji wa Dar es salaam, kama mji, umeanzishwa na Sultani. This is a historical fact. Hata ukibadikisha jina hiyo historical fact huifuti.
What's next? Mtataka kuondoa maneno yote yenye mzizi wa Kiarabu kwenye Kiswahili?
Hatuwezi kuelewana kwa sababu huwezi kufuatilia hoja.Hapa hatuwezi kuelewana, you are very narrow minded you are thinking subjectively
Seems you would be ok if Sultan culstrated yo grandpa for the sake of slave trade profits
Mkuu ondoa chuki binafsi utafika mbali sana..Sultani alichukua eneo kimabavu hana hadhi yoyote ya kusifiwa kuanzisha mji, kwao alikotoka ni uarabuni.
Hao masultan wamechukua babu zako kuwauza sehemu nyingi duniani, Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa babu zetu waliopelekwa uarabuni walikatwa viungo vya uzazi ndio maana leo hii ni ngumu kukuta vizazi vya watumwa uarabuni
Kubadili jina kila sehemu kuna sababu zake za kihistoria.Fort Bragg ilibadilishwa jina na utawala wa Biden kwa sababu ya kumbukumbu mbaya ya uasi wa mwenye hilo jina.
Jumbe Tambaza itakuwa alirubuniwa tu, hakuwa anajua anachokifanya,Sultani kauziwa ardhi mjini na Jumbe Tambaza ndiyo kajenga chuo cha Uislamu hiyo Ikulu ya Dar na maeneo ya mjini.
Kasome historia ujielimishe kabla ya kukurupuka.
Ukishaandika "itakuwa" tayari ushatueleza hujui ulichoandika unakisiakisia tu.Jumbe Tambaza itakuwa alirubuniwa tu, hakuwa anajua anachokifanya,
Mleta uzi kaweka sababu zenye mashiko.Kubadili jina kila sehemu kuna sababu zake za kihistoria.
Trump kabadili mpaka Gulf of Mexico kaiita Gulf if America.
Na wewe utataka kumuiga uibadili bahati ya Hindi uiite bahari ya Tanganyika?
Kwahiyo na Kiswahili tuache kukitumia? Maana asilimia zaidi 75 ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu na Kihindi.Wengi hatujui maana ni lugha aliyotumia Sultani aliyekwishafukuzwa
Yafaa zaidi jiji liitwe kwa maneno asili ya hapa hapa kwetu
Sababu gani?Mleta uzi kaweka sababu zenye mashiko.
Tuanze na wewe kwanza, jina lako nani, Sudi au John? Hilo ndio jina laasili yako? Na baba, mama na ndugu zako je?Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, masultan wameuza na kutumikisha kikatili babu zetu, wapo waliolimishwa mashamba Zanzibar,
Twaelewa maana ya dar es salaam; ni bandari salama”. Je, maana ya mzizima ni nini mkuu.Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, masultan wameuza na kutumikisha kikatili babu zetu, wapo waliolimishwa mashamba Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Hawa watu wanachekesha sana.Kwahiyo na Kiswahili tuache kukitumia? Maana asilimia zaidi 75 ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu na Kihindi.
Jina la mji ni nembo ya taifa. Mwenge nao unachukuliwa kama nembo ya taifa, unakimbizwa kwa mabilioni ya pesa lakini hautatui matatizo yoyote.Sababu gani?
Ukibadili jina la mji Dar es salaam unatatua matatizo gani? Unatengeneza matatizo gani? Kwa gharama gani?
What is the cost benefit analysis of this exercise?
Mtanzania akienda ulaya anakuwa na ka ushamba flani ka kutumia kiingereza kingi kilichojaa jurgons, sijapotosha hoja yako kwa madhumuni ya kukushambulia (strowman fallacy), hizo ni facts huyo Sultan kabeba historia iliyoumiza waafrika, mtizamo wako ni mwembamba unafikiria kwa hisia zako probably kwa imani yako usianze kujitetea ad homen crapHatuwezi kuelewana kwa sababu huwezi kufuatilia hoja.
Umefanya logical fallacy ya false dichotomy.
Nakuonesha hapa umefanya logical fallacy ya false dichotomy, badala ya kujifunza, unafanya logical fallacy nyingine ya strawman argument na logical fallacy ya kunitusi kwa ad hominem attack.
Hatuwezi kuelewana.
Posts zako zimejaa logical fallacies.
Huo mwenge nao ni ujinga mtupu.Jina la mji ni nembo ya taifa. Mwenge nao unachukuliwa kama nembo ya taifa, unakimbizwa kwa mabilioni ya pesa lakini hautatui matatizo yoyote.
Bandari kipindi hicho unajua ilikuwa na kazi ya kuvusha watu wa aina gani kuwapeleka wapi kufanya nini ?Twaelewa maana ya dar es salaam; ni bandari salama”. Je, maana ya mzizima ni nini mkuu.
Sio kweli kwamba zaidi ya 75% ya maneno ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu na Kihindi.Kwahiyo na Kiswahili tuache kukitumia? Maana asilimia zaidi 75 ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu na Kihindi.
Mkuu akili ni nywele. Huenda uwezo wao wa kufikiri ndio huo, kwamba Dar ikiitwa Mzizima basi shida ya maji, imeme, barabara nk. itakuwa imeisha!Hawa watu wanachekesha sana.
Wana matatizo lukuki ya kweli, yanayohitaji ufumbuzi, yanayohitaji bajeti, hawajayatatua, mengine hata hawajaanza kuyatatua.
Halafu hapohapo, wanajitungia matatizo ambayo hayapo, wanataka kuyatatua hayo.
Ujinga mtupu.
Mimi ni muumini wa historia na napenda sana majina ya sehemu yabaki kama yalivyokuwa ili tuweze kujua historia yetu. Hata mitaa ya Dar sidhani kama ilikuwa busara kubadilisha majina ya enzi zile. Nyumba pia walibomoa kwa makosa.Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, masultan wameuza na kutumikisha kikatili babu zetu, wapo waliolimishwa mashamba Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Hizi ni kasumba za Identity Politics tu.Mkuu akili ni nywele. Huenda uwezo wao wa kufikiri ndio huo, kwamba Dar ikiitwa Mzizima basi shida ya maji, imeme, barabara nk. itakuwa imeisha!