Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

Due to techinical difficulties, the User Nkaburu cannot respond to your post; Try later.
Mimi nakupeleka ignore list kwa makusudi kabisa nisione tena post yako yoyote kuanzia hapa.

Wala sisingizii technical difficulties ambazo hazipo.
 
Go back to your language we dont care, design your own language we don't care
It takes many generation to have a language ,to late your stuck with it
Usirudie kuandika tena hiyo lugha hadharani kabla hujaenda British council au kuonana na ras simba
 
Why,tell me the reason why i should not use this language or because you act smart but your not capable of speaking other language and you speak only swahili which 50 percent Arabic words
Good keep using swahili ,hata ukafanya nini lugha kiswahili utaizumgumza maisha
Have you heard about swahili coast civilazation,read about it smart man
 
Why,tell me the reason why i should not use this language or because you act smart but your not capable of speaking other language and you speak only swahili which 50 percent Arabic words
Good keep using swahili ,hata ukafanya nini lugha kiswahili utaizumgumza maisha
Have you heard about swahili coast civilazation,read about it smart man
Usirudie kuandika tena hiyo lugha hadharani kabla hujaenda British council au kuonana na ras simba
 
Mimi nakupeleka ignore list kwa makusudi kabisa nisione tena post yako yoyote kuanzia hapa.

Wala sisingizii technical difficulties ambazo hazipo.
Mkulu sina ugomvi na ww, au una ugomvi na mm? Ntu hunijui, sikujui labda tu uwe na kinyongo kwa kukuhoji kwenye nyuzi kadhaa hapa JF.

Hunilishi, hunivishi.

Sasa ukiniweka kwenye ignore list ya kwako nitaishiwa nn mm Nkaburu?

Niweke tu. Ni haki yako.
 
Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?

Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said

Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."

Sultani Majid alikuwa akifanya biashara ya kikatili ya utumwa iliyomtajirisha, Bandari aliyotumia aliisifia kwa kuiita Dar Es Salaam, kwa tafsiri ya kiswahili ni bandari salama, alisafirisha babu na bibi bila bugudha ndio maana akapaita Dar Es salaam, sehemu ambazo babu zetu walifikia wamechapwa sana mijeredi, wamelimishwa sana mashambani, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao, utaowakuta ni waafrika waliohamia kuanzia miaka ya 70s Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA

Huyo mtumwa wa jiwe pia aliuzwa na mwarabu ??
 
'My Nigerian great-grandfather sold slaves'
 
Back
Top Bottom