nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,124
- 1,839
nasikia mke aliulizwa kwanini aliamua kumpeleka hospitali aliyofia na si Muhimbili akadai hiyo hospitali kuna ndugu yake mke daktari lakini wanaojua mambo wanasema mke hana ndugu daktari!Dozi iliendelea maana mtoa dozi ndie muuguzaji mkuu, anamuongezea kdg anavojiskia kuendana na rythm ya dokta
Tamaa za kijinga,
Afu wanaitia aibu familia nzima,
Hapo wadau watatafta background ya family afu ukoo mzima utaonekana wa ovyo
Navyoipenda bleach sasa[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yani kashindwa kufeki hata nukta, ila hawa wanawake wenye kuweka mablichi kichwani ni hewa tu
utakuwa ni wale wale hahahhaha
hata wewe muda wako ukifika utakuwa mzogaKugombania mzoga ni ushamba
acha chuki za kikabila katika mambo ya msingi, kwa taarifa tu huyu dada siyo mchaga ni msukuma. Na inaaminika mumewe alikufa kwa stress za mkewe hasa umalaya uliopitilizaManka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Mwanamke anaeweka bleach Ni bonge la redflagMimi ni mwanamke Ila Wallahi sijawahi kuwaelewa wanawake wanaoweka bleach[emoji1787] Afu ukute kajichubuaa[emoji2232]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkunduu anao kumbe?... sema midemu iliyochachuka sura huwaga na mavi msitatili[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Enaseketesha sanaaa sijui sukuma la wapi hilo...sjui nyatuzuuKuna wanawake roho mbaya unazionea usoni tu, lile lichawi jamaa sijui alikua anawezaje hata kuishi nalo.
Maskini ukute hata mtoto sio wake, na wamempoteza jamaa. Kuna mtu alipost sura ya huyo mwanamke hapa nikakumbuka nlishaiona kwenye database za connection, naona sikua wrong
Ndugu zangu walishafiwa na dada yao wakamuomba shemeji yao dada yao azikwe kwenye shamba la gest yake....deep down ndugu walifanya hivyo wakisema eti haitauzika.Kuna mtu mmoja mashuhuri sana jana alikuwa anatupa story hii ila kwa mujibu wake ni kuwa:
Marehemu aliandika wosia kutaka akifa azikwe kwenye compound ya nyumba yake ila mkewe akakataa huku ndugu wakishikilia wosia utimizwe
Basi sekeseke hilo likaenda Mahakamani huko hakimu akaamuru wosia wa marehemu ufanyiwe kazi maana yake marehemu azikwe ndani ya compound yake
Mkewe anakataa hili sababu halisi hatujui ila inadhaniwa kuwa kuzikwa kwa marehemu nyumbani kwake kunaweza kuaffect mambo kadhaa
1. Akizikwa hapo nyumba haiwezi chukuliwa mkopo
2. Akizikwa hapo si rahisi nyumba kupata mpangishaji
3. Akizikwa hapo si rahisi kwa mwanaume atakaekuwa na mahusiano na mjane huo kwenda kuishi kwenye nyumba ile
4. Akizikwa hapo si rahisi kupata mnunuzi
Haya yote ni kwa mujibu wa mtu huyo mashuhuri sana hapa nchini
Mhh huenda hii ni moja ya ile rare casesNdugu zangu walishafiwa na dada yao wakamuomba shemeji yao dada yao azikwe kwenye shamba la gest yake....deep down ndugu walifanya hivyo wakisema eti haitauzika.
Lakini mbona kuna saccos imewapa mkopo mme na mke mpya kwa kutumia hati ya 8le nyumba? Na pia mkopo wameshindwa kuulipa sasa sijauliza kama nyumba itauzwa au vipi wakat ina kaburi
Atakuwa wa Shinyanga labda🤣 ukweni Kwa Manara🤣Enaseketesha sanaaa sijui sukuma la wapi hilo...sjui nyatuzuu
Hiyo saccoss ndo itajua haijuii kuna mama alimdhamini mtu kwenye mkopo yule mtu akashindwa kulipaa Ubaya nyumba ya yule mama kuna kaburi la mumewee yani Bank walipataa maboss wanakuja kulipaa kabisa wakiliona kaburii tuu huwasikiii...!! Yule mama nyumba haikuuzwa mpaka Keshoo ila nyumba za yule alimdhamini ziliuzwa zote so yeye ilipona sababu ya kaburiii...Ndugu zangu walishafiwa na dada yao wakamuomba shemeji yao dada yao azikwe kwenye shamba la gest yake....deep down ndugu walifanya hivyo wakisema eti haitauzika.
Lakini mbona kuna saccos imewapa mkopo mme na mke mpya kwa kutumia hati ya 8le nyumba? Na pia mkopo wameshindwa kuulipa sasa sijauliza kama nyumba itauzwa au vipi wakat ina kaburi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake wotee wanaijuaa pesaa siku hizii hakuna mchaga wala niniAtakuwa wa Shinyanga labda[emoji1787] ukweni Kwa Manara[emoji1787]
Duhh kumbe.Hiyo saccoss ndo itajua haijuii kuna mama alimdhamini mtu kwenye mkopo yule mtu akashindwa kulipaa Ubaya nyumba ya yule mama kuna kaburi la mumewee yani Bank walipataa maboss wanakuja kulipaa kabisa wakiliona kaburii tuu huwasikiii...!! Yule mama nyumba haikuuzwa mpaka Keshoo ila nyumba za yule alimdhamini ziliuzwa zote so yeye ilipona sababu ya kaburiii...
Itakuwa maana mhh sio kwa heka heka zakeeAtakuwa wa Shinyanga labda🤣 ukweni Kwa Manara🤣
Hata mie pia.Nilisikia mtu mmoja akisema wachaga hawazikwi ugenini