Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.

DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
acha chuki za kikabila katika mambo ya msingi, kwa taarifa tu huyu dada siyo mchaga ni msukuma. Na inaaminika mumewe alikufa kwa stress za mkewe hasa umalaya uliopitiliza
 
Kuna wanawake roho mbaya unazionea usoni tu, lile lichawi jamaa sijui alikua anawezaje hata kuishi nalo.

Maskini ukute hata mtoto sio wake, na wamempoteza jamaa. Kuna mtu alipost sura ya huyo mwanamke hapa nikakumbuka nlishaiona kwenye database za connection, naona sikua wrong
Enaseketesha sanaaa sijui sukuma la wapi hilo...sjui nyatuzuu
 
Kuna mtu mmoja mashuhuri sana jana alikuwa anatupa story hii ila kwa mujibu wake ni kuwa:

Marehemu aliandika wosia kutaka akifa azikwe kwenye compound ya nyumba yake ila mkewe akakataa huku ndugu wakishikilia wosia utimizwe

Basi sekeseke hilo likaenda Mahakamani huko hakimu akaamuru wosia wa marehemu ufanyiwe kazi maana yake marehemu azikwe ndani ya compound yake

Mkewe anakataa hili sababu halisi hatujui ila inadhaniwa kuwa kuzikwa kwa marehemu nyumbani kwake kunaweza kuaffect mambo kadhaa

1. Akizikwa hapo nyumba haiwezi chukuliwa mkopo
2. Akizikwa hapo si rahisi nyumba kupata mpangishaji
3. Akizikwa hapo si rahisi kwa mwanaume atakaekuwa na mahusiano na mjane huo kwenda kuishi kwenye nyumba ile
4. Akizikwa hapo si rahisi kupata mnunuzi

Haya yote ni kwa mujibu wa mtu huyo mashuhuri sana hapa nchini
Ndugu zangu walishafiwa na dada yao wakamuomba shemeji yao dada yao azikwe kwenye shamba la gest yake....deep down ndugu walifanya hivyo wakisema eti haitauzika.
Lakini mbona kuna saccos imewapa mkopo mme na mke mpya kwa kutumia hati ya 8le nyumba? Na pia mkopo wameshindwa kuulipa sasa sijauliza kama nyumba itauzwa au vipi wakat ina kaburi
 
Mhh huenda hii ni moja ya ile rare cases

Si unajua in every general rule there’s an exception
 
Ndugu zangu walishafiwa na dada yao wakamuomba shemeji yao dada yao azikwe kwenye shamba la gest yake....deep down ndugu walifanya hivyo wakisema eti haitauzika.
Lakini mbona kuna saccos imewapa mkopo mme na mke mpya kwa kutumia hati ya 8le nyumba? Na pia mkopo wameshindwa kuulipa sasa sijauliza kama nyumba itauzwa au vipi wakat ina kaburi
Hiyo saccoss ndo itajua haijuii kuna mama alimdhamini mtu kwenye mkopo yule mtu akashindwa kulipaa Ubaya nyumba ya yule mama kuna kaburi la mumewee yani Bank walipataa maboss wanakuja kulipaa kabisa wakiliona kaburii tuu huwasikiii...!! Yule mama nyumba haikuuzwa mpaka Keshoo ila nyumba za yule alimdhamini ziliuzwa zote so yeye ilipona sababu ya kaburiii...
 
Duhh kumbe.
Niliwasikia ndugu kipindi cha mazishi kwamba azikwe pale ili nyumba yake isiuzike. Na uzuri yule marehemu ndo alichuma zile mali kwa asilimia 90 mume ana asilimia ndogo sana. Sema ndo hvo ikishaitwa ndoa
 
Ee baba tuumbie moyo safi. Tuondolee mioyo ya tamaa na kupenda mali. Tulikuja uchi tuondoke uchi. Tutazikwa katika vipande vidogo sana vya ardhi. Tupe kupenda wengine zaidi. Tusaidie katika maisha yetu..kudumu katika kuutafuta uso wako. Kudumu katika sala na dua kila wakti. Mali zetu tamu ziwe Imani thabiti katika neno na mausia yako. Tuchape viboko pale roho zetu zinapoingiwa na tamaa ya mali, fedha etc.

Ni kheri tufike kwako tukiwa hatuna miguu, macho, mikono kuliko kuukosa ufalme wako. Tusaidie mali tutakazozichuma na wenza wetu zisiwe sababu ya kuondoa utu wetu. Tupe kudumu katika kusaidia yatima, wajane, wagonjwa na hata kwenda makaburini kusafisha kila mara. Hii itukumbushe duniani tunapita tu. Itukumbushe tunatakiwa tuache legacy ya wema tuliofanyia watu. Tukatajwe vizuri midomoni mwa watu. Maisha yetu yakaandikwe katika vibao vya mioyo ya watu kwa utu wema na fadhili tutakazokuwa tumefanya.

Zaidi tupe kukujua wewe na kuliishi neno lako. Milioni, Bilioni hazitatusaidia kitu kama hatuna uwepo wako na Neema yako. Ni kheri watoto wetu wale mihogo huku wakiwa watu wema na wauone wema na upole kwa mfano ndani yetu kama wazazi wao. Kila pepo la tamaa, chuki, ulafi wa mali, roho mbaya, fitna, kisasi, uchawi na ulozi..shindwa kwa jina la Yesu. Tunaomba na tunaamini...Amen.

NB: Kama utakwazika na hii comment naomba nisamehe. Niignore kabisa ikikubidi. Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom