Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

😍😍😍😍Sawa Mzee
 
Mkuu mimi sina cheo hata cha ujumbe wa Mtaa nateuliwaje kuwa Waziri?

Nini kinakuumiza Mimi kusema mambo mema ya nchi yetu mimi na wewe?! ,

Wewe ulifurahi vile watu walilishia ng'ombe ndizi zao wakati dunia inazihitaji Sana tu?

Kuwa mzalendo achana na u-vyama umetuchelewesha sana Watanzania,

But,

HAKUNA KAMA SAMIA

#KAZI IENDELEE
 
Na inawezeka hata huna usajili wa chama chochote kama mama D tuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
good intention can move mountains, sio kama chadema ni vurugu tu, kulumbana wenyewe kwa wenyewe, lazima MWENYEZI MUNGU AWAPIGE CHINI TU KILA SIKU
 
good intention can move mountains, sio kama chadema ni vurugu tu, kulumbana wenyewe kwa wenyewe, lazima MWENYEZI MUNGU AWAPIGE CHINI TU KILA SIKU
😍😍😍😍 Chadema is no more there anymore
 
Watu wanashindia mkate na au kutokula kabisa siku mojamoja kwa sabb pesa zooote zinakusanywa na kupelekwa hazina, miamala haina kupewa listi, ukikohoa tu, kodi, chafya, kodi, mitaani hakuna pesa kabisaaa
Dah...na bado sijui huko hazina zikifika zinaenda wapi....maana njia 8 za kimara -Kibaha tayari zimekwama 🀭🀭
 
Ainuliwe na wananchi, police au jeshi.
I love CCM [emoji23]
 
Mipango ya Mungu sio sawa na ya wanadamu

Nitumie tena ile video hapa CM 1774858

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan

CM 1774858 😍😍
BEWARE!!! BEWARE!!
Ukiskia mahubiri yamakelele alafu kunamtu anachagiza navimaneno pembeni kama mpigadebe...
KIMBIA CHAPU UNAIBIWA!!
Hapo Utakaushwa hela kisha utavuliwa cheni,saa,hereni na ukiendekeza ujinga utavuliwa mpaka chupli
 
Ainuliwe na wananchi, police au jeshi.
I love CCM [emoji23]
Na wakulima wa ndizi na familia zao,

Wewe kama hujawahi kuona ndizi zinavyochezewa kisa soko kaa kimya,

Wanaojua watamwinua tu lazima,
 
BEWARE!!! BEWARE!!
Ukiskia mahubiri yamakelele alafu kunamtu anachagiza navimaneno pembeni kama mpigadebe...
KIMBIA CHAPU UNAIBIWA!!
Hapo Utakaushwa hela kisha utavuliwa cheni,saa,hereni na ukiendekeza ujinga utavuliwa mpaka chupli
Uongo huu
 
Una haki ya kucoment unachokiwaza baada ya kusikia na wengine tuna haki ya kupost tulichokielewa baada ya kusikia

Uliona wapi mtu anavuliwa chupi kupitia kuangalia au kuasikiliza video online

We nawe kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…