CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
- Thread starter
- #41
Ngoja tuone,Quality ndio issue sasa...
Nia ipo ndio maana wameshasajiri Kampuni yao hapa Kwetu,
Ngoja tuone,Quality ndio issue sasa...
Uongo huu
😍😍😍😍 Uchizi huo,Una haki ya kucoment unachokiwaza baada ya kusikia na wengine tuna haki ya kupost tulichokielewa baada ya kusikia
Uliona wapi mtu anavuliwa chupi kupitia kuangalia au kuasikiliza video online
We nawe kha!
😀😀😀 kule Freemason itakuwaSijui walimvulia wapi😂😂🤣🤣 anaogopa hadi anatetemeka🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀😀 kule Freemason itakuwa
Mwamba ataimiss sana mbege maana ni kinywaji chake pendwa hasa hasa akimix na faru John
Mkipata vi cheo kidogo tu akili huwaruka.Na wakulima wa ndizi na familia zao,
Wewe kama hujawahi kuona ndizi zinavyochezewa kisa soko kaa kimya,
Wanaojua watamwinua tu lazima,
Upuuzi alioufanya Jiwe kwenye korosho sidhani kama kuna mwenye akili timamu anauunga mkonoDon't celebrate too soon! Tumewahi kuyaona hapa ya mnunuzi wa korosho kutoka Kenya, Mwendakuzimu akachekelea mpaka gego la mwisho; kilichotokea kila mtu anakijua isipokuwa vilaza peke yao!
Mods pigeni ban huyu mtuNakuunga na kifurushi Bei ndogo sana,
kuanzia GB 85 Miezi 3 Hadi GB 390 kwaMiezi 12, kukiwemo na dakika zakumwaga mitandao Yote,
Pia Nakuunga na vifurushi vya AZAM Tv MIEZI 3
DSTv MIEZI 3
STARTIMES MIEZI 3
UNAPATA CHANEL ZOTE KWA PAMOJA
PIA TUNAHACK MESSAGE & CALL
+1360 351 4868
Hahaha kiama kinakuja meku,Mwamba ataimiss sana mbege maana ni kinywaji chake pendwa hasa hasa akimix na faru John
Kwanini usielezee vizuri tukakuelewa?Mkipata vi cheo kidogo tu akili huwaruka.
Njoo tukuyu nikuoneshe mashamba ya ndizi maana inaonekana unakula.
Tunataka Katiba Mpya! Please.am speechless,
Nadhani mambo kama ni haya hakuna haja ya 2025 kuwa na Uchaguzi,
Tumwache tu mama mpaka 2030
kwani tayari keshamaliza uchaguzi huyu,
Mama Samia tunakuombea mama yetu,
Wenzio yamewakuta sasa!!Una haki ya kucoment unachokiwaza baada ya kusikia na wengine tuna haki ya kupost tulichokielewa baada ya kusikia
Uliona wapi mtu anavuliwa chupi kupitia kuangalia au kuasikiliza video online
We nawe kha!
Upuuzi alioufanya Jiwe kwenye korosho sidhani kama kuna mwenye akili timamu anauunga mkono
Utakuwa unakaa mitaa ya burundi siyo Tanzania bwashee.Watu wanashindia mkate na au kutokula kabisa siku mojamoja kwa sabb pesa zooote zinakusanywa na kupelekwa hazina, miamala haina kupewa listi, ukikohoa tu, kodi, chafya, kodi, mitaani hakuna pesa kabisaaa
Yule alikuwa anaishi kwa uongo uongo.Don't celebrate too soon! Tumewahi kuyaona hapa ya mnunuzi wa korosho kutoka Kenya, Mwendakuzimu akachekelea mpaka gego la mwisho; kilichotokea kila mtu anakijua isipokuwa vilaza peke yao!
Tunataka Katiba Mpya! Please.