Wivu unaitesa hii nafsi.Dizaini hii jirani yako akinunua gari kali, nyumbani kali si unaweza kumsifu kutwa kucha na hata kumkabidhi mkeo
Amefanya nini tofauti...Mimi ni sekta binafsi, nakuthibitishia Mama is doing wonders.
P
Mkuu Kichuguu , Mama amefanya mengi, makubwa ya kuonekanika, with time, and in due course, utayaona.Amefanya nini tofauti...
am speechless,
Nadhani mambo kama ni haya hakuna haja ya 2025 kuwa na Uchaguzi,
Tumwache tu mama mpaka 2030
kwani tayari keshamaliza uchaguzi huyu,
Mama Samia tunakuombea mama yetu,
Mkuu Kichuguu , Mama amefanya mengi, makubwa ya kuonekanika, with time, and in due course, utayaona.
P
Yaani amebadilisha sera zipi; kusema "mengi" ni too general. Inawezekana kweli amekubalika na wengi kama alternative ya aliyemtangulia bila kubadilisha sera yoyote, lakini sijaona sera yoyote ninayoweza kusema kuwa ni brainchild yake.Mkuu Kichuguu , Mama amefanya mengi, makubwa ya kuonekanika, with time, and in due course, utayaona.
P
Watu wanaanzaga hivi hivi, hata JPM, wasifiaji walianza hivi hivi, huyo huyo aliyeinuliwa kutoka jalalani, akaja kumuita ni mungu!. Angalieni katika kumsifu mama msijekupitiliza na kumponza!, rais wa nchi
Je! ninyota,bahati au wakati tu umefika wa Rais Samia kuinuliwa? | Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania,ni billions of shilings
Thread starterCM 1774858 Start dateYesterday at 11:
mtu aliyejuu kuliko wote, sasa mtu yuko juu kuliko wote halafu bado unataka ainuliwe, ainuliwe apelekwe wapi?!, halafu akiinuliwa kweli si ni wewe ndio utarudi hapa macho yamekuvimba kwa kulia kutwa kucha?. Acheni hizo!.
P
We mtu CM 1774858 , wee vipi?!. Kama Mama anafanya mambo makubwa mazuri kama haya, vipi unataka ainuliwe wapi zaidi ya hapo alipo?!. Unataka apalizwe mbinguni kabisa akamsaidie yule aliyeomba kufanywa Mkuu wa malaika?!. Acha hizo!.
Hapo Mama alipo ni yuko juu, ukitaka ainiliwe zaidi itakuwa ni mawinguni!. Bado tunamuhitaji sana.
P
Mayala unamaanisha nini?
Hujaelewa nini hapo?
Mungu huwainua watu wake wakiwa hapahapa dunia kama ambavyo wewe umeinuliwa kwenye kuandika
Mama ameisha inuliwa hapo alipo ndio top of the top, sasa mnataka ainuliwe wapi zaidi ya hapo?, Apalizwe mbinguni?.
P
Mama ameisha inuliwa hapo alipo ndio top of the top, sasa mnataka ainuliwe wapi zaidi ya hapo?, Apalizwe mbinguni?.
P
Bro Pascal Mayalla kwa namna nakuheshimu nimekuwa nakwepa kukujibu humu nahisi utapoteza baadhi ya heshima yako,
Ila nashangaa kuona unauelewa mdogo kiasi hiki kuhusu Mambo ya Mungu.
anyway hebu sikiliza huu wimbo huenda ukaelewa maana halisi ya kuinuliwa,
Plz, Usikiliza mpaka mwisho
Be blessed,
Mayala huwa simwelewagi mimi,🤣🤣🤣🤣 Mayala!!
Umeanza wivu kwa msifiaji mwenzako wa Lumumba?
Kuna mtu anaongoza kwa kusifia serikali kama Mayala hapa JF jamani?
Mimi ni Chadema ila tangu huyu mtu CM 17.. aanze kumwelezea mama Samia sasa hivi huniambii kitu kuhusu Mama Samia tena huyu mtu hata jina haandiki kama wewe tuseme labda anavizia uteuzi kama wewe
Tofauti na wewe huyu jamaa anaelezea vitu mpaka unafurahi tena kwa namba,
Najua unaona kama atakunyang'anya nafasi yako hapa JF kwenye uchambuzi wa siasa sikweli wewe ni mkongwe sana acha hofu mayala,
Wakishanunua hizo ndizi ndio mje kutoa taarifaam speechless,
Nadhani mambo kama ni haya hakuna haja ya 2025 kuwa na Uchaguzi,
Tumwache tu mama mpaka 2030
kwani tayari keshamaliza uchaguzi huyu,
Mama Samia tunakuombea mama yetu,
Soma vizuri mkuu,Wakinunua ndizi zote sisi tutakula nini? wee jamaa utakuwa na matatizo, maana mapambio yakizidi unakuwa utopolo....
#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDIWakishanunua hizo ndizi ndio mje kutoa taarifa
#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDIWakinunua ndizi zote sisi tutakula nini? wee jamaa utakuwa na matatizo, maana mapambio yakizidi unakuwa utopolo....
Hahaha 😀😀😀Wakinunua ndizi zote sisi tutakula nini? wee jamaa utakuwa na matatizo, maana mapambio yakizidi unakuwa utopolo....
Umeolewa? ili kazi iendeleeKAZI IENDELEE
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
Kada kichaa kweli wewe ni kichaa😀😀😀Umeolewa? ili kazi iendelee