Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

😍😍😍 Daah hiyo ni mbaya sana,

Mama aache kuangalia hawa wasiolitakia mema Taifa letu
 
Welcome back chief,


😍😍😍
 
😍😍😍 Daah hiyo ni mbaya sana,

Mama aache kuangalia hawa wasiolitakia mema Taifa letu
Imagine tunakosa maonyesho ya zaidi ya Nchi 190 ,aisee hatuko serious..

Dubai world Expo,China Expo na Jukwaa la Uchumi la Davos sio majukwaa ya kukosa..

Aachane kabisa na hao wapuuzi hawana msaada dhamana ya Uchumi iko kwake
 
Wakinunua zote sisi tutakula nini ? Hizo Sarafu na Noti ?
 
Don't celebrate too soon! Tumewahi kuyaona hapa ya mnunuzi wa korosho kutoka Kenya, Mwendakuzimu akachekelea mpaka gego la mwisho; kilichotokea kila mtu anakijua isipokuwa vilaza peke yao!
Tokea nimeijua Ccm,najua kuna nchi zimejariwa gundunla uchumi,nchi hii pendwa ni Tanzania
 
Hili la Ukraina Wala watanzania wenzangu msiliamini. Hi ni siasa tu.

Nchi za ulaya kuagiza chakula Afrika ni ndoto. Tunataka matendo sio maneno kwenye media.

Nina rafiki yangu mkraina nimesoma nae nimemtumia hii habari akacheka. Ila alishawahi kufika Tanzania. Alikuwa anataka kufanya biashara ya sola akakimbilia Zambia. Sasa anafanya biashara na Zambia. Tanazania ni pagumu sana.

Tujitafakari sana.
 
Ccm haina ubunifu wa kutumia fursa za nje kuinua vijana kupitia kilimo.
China tu inahitaji matani ya parachichi tumeshindwa
 
We proud also 😍😍😍😍
Kuna kitu unatafuta wewe sio bure. Ukiona mtu anaabudu sanamu kuna anachofaidi kutokana na hiyo ibada. Hata zama za Magufuli mlikuwepo wa hivi.
 
Don't celebrate too soon! Tumewahi kuyaona hapa ya mnunuzi wa korosho kutoka Kenya, Mwendakuzimu akachekelea mpaka gego la mwisho; kilichotokea kila mtu anakijua isipokuwa vilaza peke yao!
Hiyo korosho hakuwa Samia mbona,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…