Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

Kwanza ziara alizofanya nchi jirani tayari zishaanza kuleta matokeo chanya?
 
Naona unaupungufu wa Uzalendo Mkuu,

Miamila inachukua Tshs 6,000 hata ukituma 100M,
Tupe ufafanuzi vinginevyo unatudanganya. Nikingalia tariffs kwenye mtandao wa voda, wameweka hivi
Kutuma 3,000,000 tozo ya serikali ni shs 6,580, na kutoa 3,000,000 tozo ya serikali ni shs 6,580 Jumla 13,160! Hizo shs 6,000 za kutuma 100,000,000 umezipata wapi?
 
Sheria ya kodi au ilielekeza kiwango cha juu cha makato ya serikali kiwe Tshs 10,000,

Baadae wakasema wameipunguza kwa 30% na mitandao wameondoa 10% na kufanya jumla ya punguzo kuwa 40%

Sasa Tafuta 40% ya Tshs 10,000
10,000X 0.4= 4,000

Chukua 10,000 toa 4,000= 6,000

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Kwani nchi yetu iliwahi tawaliwa na chama kingine zaidi ya ccm? Kama walikuwa wanakwamisha biashara kwa sababu ya tozo nyingi Ni haohao ccm,sioni sababu yoyote ya kuwapa pongezi kwa kufanya kile walichotakiwa kufanya siku nyingi
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Ila jamani, kwa maoni yangu binafsi, inaweza, baadaye, ikawa janga kwa mwenyeji.
Ni ajabu, hivi sasa Tukuyu Mbeya kuna uhaba wa ndizi. Sijawahi kuona!
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Watu wanashindia mkate na au kutokula kabisa siku mojamoja kwa sabb pesa zooote zinakusanywa na kupelekwa hazina, miamala haina kupewa listi, ukikohoa tu, kodi, chafya, kodi, mitaani hakuna pesa kabisaaa
acha wehu tufanye kazi
 
👇🏿👇🏿👇🏿

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Na iwe kweli, maana Ukraine ina figisu za kitapeli sana.
 
Hongera na Ahsante pia kwa mada nzuri na kwa kuitafsiri kwa lugha ya nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…