Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

Kiboko kwa lipi, Katoa hela za mshindi umewahi fanya utafiti mdg manufaa yake kwa wakulima wangapi wamenufaika. Hata kwenye ndizi yatakuwa haya haya
Acha kuishi kwa historia mjomba, Hii nchi imebadilika sana
 
Mkuu mimi sijawahi kuona nambie wapi huko wanachezea ndizi kisa hawana soko maana bukoba naona ndizi Zina soko na ziko mingi mingi

Kigoma soko n kubwa mno na zinasafirishwa katavi ijapokuwa katavi nao wanalima kupitia mwese, na sehemu nyingine

Niwekee ushahidi wa wakulima wa ndizi kusema hawana soko sio porojo za kibosho wanalisha ng'ombe.

Hakuna cha maana hapo, maana vitawekwa vigezo vya ununuzi (kama ilivyo kuwa kwenye mshindi mwaka huu pumbavu sana) hakuna mkulima atauza ndizi labda wazilangue kwA bei Chee baadae wakauze wao (ndo zao mbwa Hawa)
Nenda hapo Machame Moshi utaelewa alichoandika,
 
kwa akili yako unajua hizo ndizi sijui mkono wa tembo, kisamunyu, mshare, sijui mzuzu ni ndizi za kibiashara huko nje?

kwa uchache tambua ndizi za kibiashara kimataifa ni nyingine na izo za machame sijui moshi bar ni tofauti kabisa

Tz wanaofanya/lima ndizi za biashara ni wachache mno wengi hulima hizi ndizi za kula kimazoea

Ndizi za kibiashara ni kama jamaica, golden finger, uganda green sio hizo ndizi mzuzu za machame kwenu
 
Mkuu unabishana na utafiti bila kufanya utafiti?

Sio sawa, soma tena andiko
 
Mkuu hilo bandiko wapi? Wameandika kwamba kuna tatizo la soko

Zaidi nimeona kwamba africa inauza kiasi cha tani kadhaa na 50% ya tani hizo ni kutoka tz na uganda

kwa maana Iyo ndizi zinauzwa, nioneshe kwenye Ilo bandiko wapi wamesema ndizi toka tz haina soko (imezalishwa ya kuzidi na ikakosa soko)
 
Unachoambiwa ni kweli kama huamini uliza Moshi au Bukoba, Bei ni mbaya sana
 
Umenambia nisome hapo juu kuna utafiti nimekujibu unaleta stori za kuuliza

Soko la dunia mkungu ni tsh ngap? Na unakuwa na vigezo vipi? Sijui kuhusu moshi ila bukoba ndizi bei iko standard
 
Je! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa,​

"Hakuna kama Samia"​

Bara la Africa linauza nje ndizi zinazofikia thamani ya zaidi ya $4.3bl karibu Tshs 10trilioni,Wakati 50% ya ndizi yote inayozalishwa Africa inatoka Tanzania na Uganda,dunia ilitumia zaidi ya tani milioni 22.2 kwa Mwaka huku, Nakwamujibu wa Food and Agriculture Organization (FAO) Marekani, Urusi na Ulaya peke yao walitumia zaidi tani 18.9M Kati hizo tani 22.2M |Hebu tujifikirishe kidogo ,Tanzania ndizi tunazo kwa matani,soko nje lipo lakutosha nini kilikosekana?Ujio wa Rais Samia na Ilani mpya ya CCM ya 2020-2025 wamekuja kuifanya Shida ya masoko ya ndizi kubaki kuwa historia Tanzania|

Kwamsiofahamu,zaidi ya watu 400M duniani wanatumia ndizi kila siku kwa chakula,Hapa Africa ni zaidi ya watu 70M wanategemea ndizi kwa kujipatia kipato chao huku watu 50M Kati yao wako Africa Mashariki huku Tanzania|Uganda wanabeba 50% ya ndizi yote inayozalishwa Africa huku Tanzania kwa mfano YF2019|2020 iliuza jumla ya tani 567 tu sawa na 0.0003% ya ndizi yote iliyouzwa duniani,Kwa lugha rahisi ndizi ya Tanzania bado haijaguswa kabisa kuuzwa nje na hii ilisababishwa na utitiri wa tozo ambao Rais Samia kwa kuanzia tu ameshaondoa tozo|kodi 232 ndio maana mnaona mpaka Ukraine inakuja kununua ndizi kule Kibosho,

Wakati ndugu zangu wamachame wanatumia ndizi kulisha nguruwe kwa sababu ya kukosekana kwa Soko la ndizi,tayari Rais Samia kupitia Mawaziri wake Prof Mkenda na Hussein Bashe wametuletea wanunuzi wakubwa wawili yaani Akida Group ya watu wa Ukraine pamoja na Twiga Food LTD toka Kenya watakao nunua kila ndizi inayotaka pesa,Akida wao watahitaji kununua Contena 10 kila mwezi na kuanzia Dec 2021 watahitaji tani 70 kwa mwezi sawa na tani 840 kwa mwaka ikiwa ni upungufu wa tani 273 toka Tani 567 zilizouzwa nje FY2019|2020,Wakati Twiga Food LTD wao wanahitaji tani 100 kila siku sawa na tani 36,600 kwa mwaka,Twiga food LTD wao wameshilia biashara yenye thamani ya zaidi ya $29bl karibu Tshs 66.7trilioni kwa wakulima wenzetu wa ndizi Uganda,

NB, Je! Haya yote wakulima wa ndizi mngeyapata wapi bila CCM imara na sera madhubuti za Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan?

VIVA SAMIA VIVA | VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1959183
Hiyo picha ndio ya Blair alipokuja kututongoza kuchukua mkopo wa Trillion 2 wa chanjo, umeiweka hapa ya nini?
 
Mungu ni mkubwa,
 
Back
Top Bottom