Kweli ni ipi?
Kweli ni ipi?
Ndio ni kweliNa iwe kweli, maana Ukraine ina figisu za kitapeli sana.
Yapi tuliambiwa juzi juzi kuwa kuna kampuni ya US itanunua korosho zote za Tanzania matokeo yake bei ndio imekuwa , bovu kupita maelezoMatokeo ndio haya mkuu
Itakaa sawa hapo baadaeYapi tuliambiwa juzi juzi kuwa kuna kampuni ya US itanunua korosho zote za Tanzania matokeo yake bei ndio imekuwa , bovu kupita maelezo
Ndizi za ubora upi huo?Je! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa,
"Hakuna kama Samia"
Bara la Africa linauza nje ndizi zinazofikia thamani ya zaidi ya $4.3bl karibu Tshs 10trilioni,Wakati 50% ya ndizi yote inayozalishwa Africa inatoka Tanzania na Uganda,dunia ilitumia zaidi ya tani milioni 22.2 kwa Mwaka huku, Nakwamujibu wa Food and Agriculture Organization (FAO) Marekani, Urusi na Ulaya peke yao walitumia zaidi tani 18.9M Kati hizo tani 22.2M |Hebu tujifikirishe kidogo ,Tanzania ndizi tunazo kwa matani,soko nje lipo lakutosha nini kilikosekana?Ujio wa Rais Samia na Ilani mpya ya CCM ya 2020-2025 wamekuja kuifanya Shida ya masoko ya ndizi kubaki kuwa historia Tanzania|
Kwamsiofahamu,zaidi ya watu 400M duniani wanatumia ndizi kila siku kwa chakula,Hapa Africa ni zaidi ya watu 70M wanategemea ndizi kwa kujipatia kipato chao huku watu 50M Kati yao wako Africa Mashariki huku Tanzania|Uganda wanabeba 50% ya ndizi yote inayozalishwa Africa huku Tanzania kwa mfano YF2019|2020 iliuza jumla ya tani 567 tu sawa na 0.0003% ya ndizi yote iliyouzwa duniani,Kwa lugha rahisi ndizi ya Tanzania bado haijaguswa kabisa kuuzwa nje na hii ilisababishwa na utitiri wa tozo ambao Rais Samia kwa kuanzia tu ameshaondoa tozo|kodi 232 ndio maana mnaona mpaka Ukraine inakuja kununua ndizi kule Kibosho,
Wakati ndugu zangu wamachame wanatumia ndizi kulisha nguruwe kwa sababu ya kukosekana kwa Soko la ndizi,tayari Rais Samia kupitia Mawaziri wake Prof Mkenda na Hussein Bashe wametuletea wanunuzi wakubwa wawili yaani Akida Group ya watu wa Ukraine pamoja na Twiga Food LTD toka Kenya watakao nunua kila ndizi inayotaka pesa,Akida wao watahitaji kununua Contena 10 kila mwezi na kuanzia Dec 2021 watahitaji tani 70 kwa mwezi sawa na tani 840 kwa mwaka ikiwa ni upungufu wa tani 273 toka Tani 567 zilizouzwa nje FY2019|2020,Wakati Twiga Food LTD wao wanahitaji tani 100 kila siku sawa na tani 36,600 kwa mwaka,Twiga food LTD wao wameshilia biashara yenye thamani ya zaidi ya $29bl karibu Tshs 66.7trilioni kwa wakulima wenzetu wa ndizi Uganda,
NB, Je! Haya yote wakulima wa ndizi mngeyapata wapi bila CCM imara na sera madhubuti za Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan?
VIVA SAMIA VIVA | VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1959183
Ni za chakula zaidiNdizi za ubora upi huo?
Good indeedJe! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa,

Je! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa,

alikwambia nani?Yapi tuliambiwa juzi juzi kuwa kuna kampuni ya US itanunua korosho zote za Tanzania matokeo yake bei ndio imekuwa , bovu kupita maelezo
kazi iendeleeJe! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa,
"Hakuna kama Samia"
Bara la Africa linauza nje ndizi zinazofikia thamani ya zaidi ya $4.3bl karibu Tshs 10trilioni,Wakati 50% ya ndizi yote inayozalishwa Africa inatoka Tanzania na Uganda,dunia ilitumia zaidi ya tani milioni 22.2 kwa Mwaka huku, Nakwamujibu wa Food and Agriculture Organization (FAO) Marekani, Urusi na Ulaya peke yao walitumia zaidi tani 18.9M Kati hizo tani 22.2M |Hebu tujifikirishe kidogo ,Tanzania ndizi tunazo kwa matani,soko nje lipo lakutosha nini kilikosekana?Ujio wa Rais Samia na Ilani mpya ya CCM ya 2020-2025 wamekuja kuifanya Shida ya masoko ya ndizi kubaki kuwa historia Tanzania|
Kwamsiofahamu,zaidi ya watu 400M duniani wanatumia ndizi kila siku kwa chakula,Hapa Africa ni zaidi ya watu 70M wanategemea ndizi kwa kujipatia kipato chao huku watu 50M Kati yao wako Africa Mashariki huku Tanzania|Uganda wanabeba 50% ya ndizi yote inayozalishwa Africa huku Tanzania kwa mfano YF2019|2020 iliuza jumla ya tani 567 tu sawa na 0.0003% ya ndizi yote iliyouzwa duniani,Kwa lugha rahisi ndizi ya Tanzania bado haijaguswa kabisa kuuzwa nje na hii ilisababishwa na utitiri wa tozo ambao Rais Samia kwa kuanzia tu ameshaondoa tozo|kodi 232 ndio maana mnaona mpaka Ukraine inakuja kununua ndizi kule Kibosho,
Wakati ndugu zangu wamachame wanatumia ndizi kulisha nguruwe kwa sababu ya kukosekana kwa Soko la ndizi,tayari Rais Samia kupitia Mawaziri wake Prof Mkenda na Hussein Bashe wametuletea wanunuzi wakubwa wawili yaani Akida Group ya watu wa Ukraine pamoja na Twiga Food LTD toka Kenya watakao nunua kila ndizi inayotaka pesa,Akida wao watahitaji kununua Contena 10 kila mwezi na kuanzia Dec 2021 watahitaji tani 70 kwa mwezi sawa na tani 840 kwa mwaka ikiwa ni upungufu wa tani 273 toka Tani 567 zilizouzwa nje FY2019|2020,Wakati Twiga Food LTD wao wanahitaji tani 100 kila siku sawa na tani 36,600 kwa mwaka,Twiga food LTD wao wameshilia biashara yenye thamani ya zaidi ya $29bl karibu Tshs 66.7trilioni kwa wakulima wenzetu wa ndizi Uganda,
NB, Je! Haya yote wakulima wa ndizi mngeyapata wapi bila CCM imara na sera madhubuti za Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan?
VIVA SAMIA VIVA | VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1959183
Safi Sana, Hali ikoje kwa sasaUmeeleweka,wengine tumeanza kuchukua hatua hii ndo biashara yetu.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Kaziiendelee mama yetu, Tunakuelewa sana tuJe! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa,
"Hakuna kama Samia"
Bara la Africa linauza nje ndizi zinazofikia thamani ya zaidi ya $4.3bl karibu Tshs 10trilioni,Wakati 50% ya ndizi yote inayozalishwa Africa inatoka Tanzania na Uganda,dunia ilitumia zaidi ya tani milioni 22.2 kwa Mwaka huku, Nakwamujibu wa Food and Agriculture Organization (FAO) Marekani, Urusi na Ulaya peke yao walitumia zaidi tani 18.9M Kati hizo tani 22.2M |Hebu tujifikirishe kidogo ,Tanzania ndizi tunazo kwa matani,soko nje lipo lakutosha nini kilikosekana?Ujio wa Rais Samia na Ilani mpya ya CCM ya 2020-2025 wamekuja kuifanya Shida ya masoko ya ndizi kubaki kuwa historia Tanzania|
Kwamsiofahamu,zaidi ya watu 400M duniani wanatumia ndizi kila siku kwa chakula,Hapa Africa ni zaidi ya watu 70M wanategemea ndizi kwa kujipatia kipato chao huku watu 50M Kati yao wako Africa Mashariki huku Tanzania|Uganda wanabeba 50% ya ndizi yote inayozalishwa Africa huku Tanzania kwa mfano YF2019|2020 iliuza jumla ya tani 567 tu sawa na 0.0003% ya ndizi yote iliyouzwa duniani,Kwa lugha rahisi ndizi ya Tanzania bado haijaguswa kabisa kuuzwa nje na hii ilisababishwa na utitiri wa tozo ambao Rais Samia kwa kuanzia tu ameshaondoa tozo|kodi 232 ndio maana mnaona mpaka Ukraine inakuja kununua ndizi kule Kibosho,
Wakati ndugu zangu wamachame wanatumia ndizi kulisha nguruwe kwa sababu ya kukosekana kwa Soko la ndizi,tayari Rais Samia kupitia Mawaziri wake Prof Mkenda na Hussein Bashe wametuletea wanunuzi wakubwa wawili yaani Akida Group ya watu wa Ukraine pamoja na Twiga Food LTD toka Kenya watakao nunua kila ndizi inayotaka pesa,Akida wao watahitaji kununua Contena 10 kila mwezi na kuanzia Dec 2021 watahitaji tani 70 kwa mwezi sawa na tani 840 kwa mwaka ikiwa ni upungufu wa tani 273 toka Tani 567 zilizouzwa nje FY2019|2020,Wakati Twiga Food LTD wao wanahitaji tani 100 kila siku sawa na tani 36,600 kwa mwaka,Twiga food LTD wao wameshilia biashara yenye thamani ya zaidi ya $29bl karibu Tshs 66.7trilioni kwa wakulima wenzetu wa ndizi Uganda,
NB, Je! Haya yote wakulima wa ndizi mngeyapata wapi bila CCM imara na sera madhubuti za Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan?
VIVA SAMIA VIVA | VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1959183
watu hawampendi..tena hasa amabo soyo waajiriwa wa seeikaliKaziiendelee mama yetu, Tunakuelewa sana tu
Bei ni nzuri,Chain yetu inaishia pale tutakapouza mzigo, Hapa ajira pia zipoNi jambo zuri sana
===!
Swali:
Value chain ya biashara hii, kutoka shambani mwa mkulima wa Tanzania mpaka kumfikia mlaji huko Ukraine ipo je?
Tanzania nakupenda sanaWALE WAZEE WENZANGU WA MBEGE KIAMA CHAJA NDIZI YOTE KUNUNULIA AISE MEKU😀😀😀😀
View attachment 1959195
View attachment 1965863