MINING GEOLOGY IT
Member
- Apr 6, 2024
- 99
- 129
- Thread starter
- #21
Asante kama utaweza kuonesha utapeli niliweka hapa ukaniripotiUlivyo andika tukisoma watu smart kichwani. Tunajua ulichandika ni uongo mixer utapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kama utaweza kuonesha utapeli niliweka hapa ukaniripotiUlivyo andika tukisoma watu smart kichwani. Tunajua ulichandika ni uongo mixer utapeli
Nunga mkono unalosema ila ndio maana na jaribu kutumia taratibu pole poleMwekezaji atakuja kunyakua eneo kwa kupewa leseni na serikali sikivu ya CCM
Asante.Kikubwa muone matokeo kama haya yanayoendelea japo ni kidogo kwenye mwangazaHongera mkuu.....🤝
Nakubari changamoto unazosema ,kama nilianza na kuambiwa hayo maneno basi na matokeo ujapendezwa nayoWamehamia huku hawa jamaa. Kama kuna mzigo mzito kama huo unawezaje kumwambia hata nkeo. Leo unakuja humu eti kwa atakayehitaji akutafute!! Mleta mada na Dr shika Woooote mantanyange ( alisema jk nyerere)
Shida ni kuwa mwananchi wa kawaida atakwenda kufaidika nayo vipi hayo madini,hata hivyo hakuna cha kushangaza hapo tulishaambiwa kuwa hii nchi ni tajiri sana..."Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania!
Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha dhahabu, likiashiria fursa kubwa ya uchimbaji na maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Juhudi zangu zimefanyika kwa kuzingatia uchambuzi wa jiolojia na ukusanyaji wa sampuli, na natumai kuwa ugunduzi huu utakuwa baraka kwa jamii yetu na neema kwa siku zijazo."
Hii ni moja ya jiwe dogo kwenye sample kabla ya kusaga lilokwenda mahabara na kutoa majibu
View attachment 2988712
RIport ya vipimo toka kwenye sample ya picha hapo juu kwenye jiwe ilo
View attachment 2988714
Kama wadau au wakezaji wataitaji kujua zaidi nitazidi kueleza maana naanda ripoti kamili.
Asanteni
Wengi hawana helaKwa nini Watanzania wengi ni "waoga" ?
Kweli unalosema.Nchi yetu kuna vitu vinasabishaShida ni kuwa mwananchi wa kawaida atakwenda kufaidika nayo vipi hayo madini,hata hivyo hakuna cha kushangaza hapo tulishaambiwa kuwa hii nchi ni tajiri sana...
Asante. Naelewa changamoto na kasheshe kama ukagundua kuna upatikanaji wa dhahbu na nguvu itakayotumika ukose ulichokifanya.Piga kazi mkuu na mafanikio yako ndio neema kwa wengine
Huu uzi ukae hapa kwa muendelezo na siku ukifanikiwa ila mtaji hauruhusu tafuta wenye hela kiasi hata 20 to 50m utawapata tu wapo wenye hela humu wengi tu ila ni uaminifu tu
😢😢😢Changamoto ni ujanja na ubinafsi. Mpaka sasa tafiti kutoa pesa zinakataliwa ila ukifanikiwa wanataka waoneshwe ili wachimbe au kununua eneo bila kupata ulichokifanya
1. Nilipo eleza kuhusu hiyo sampuli ni ndogo ambayo nimeita P1(point 1),sababu iliyonifanya kupeleka madini ni kuepusha eneo na wachimbaji wa ovyo na kukosa bajeti.Mkuu nina maswali machache kwako kidogo
1. Hizo gold 0.07 na 0.1 ndio thamani kubwa za ugunduzi wako?
2. Umegundua hayo madini kwa maana ya ore body au loose samples ulizopeleka maabara?
😢😢😢Changamoto ni ujanja na ubinafsi. Mpaka sasa tafiti kutoa pesa zinakataliwa ila ukifanikiwa wanataka waoneshwe ili wachimbe au kununua eneo bila kupata ulichokifanya
Sasa mdogo wangu kweli unapeleka sample ya jiwe moja unaona Kuna gold 0.07 unaanzisha uzi kwamba umegundua eneo lenye madini ya thamani kubwa!Asante kwa kuniuliza. Ndio maana mwishoni nikasema ripoti kamili nitaleta.Bado changamoto za kuchukua sampuli kubwa ili kujua uwezo wa eneo.
ila mpaka sasa eneo ilo lijawa na rekodi wala historia kuwa na uchimbaji wala tafiti
Kabla ya kuanza kuchimba wanakuambia lazima waende kwanza kwa mtaalamu awachorew ramani.Ushirikina umeshika nafasi kubwa tena upande wa madini wakiamini ndio unaweza kupata madini
Ujaweza kunielewa umetumia kunikosoaSasa mdogo wangu kweli unapeleka sample ya jiwe moja unaona Kuna gold 0.07 unaanzisha uzi kwamba umegundua eneo lenye madini ya thamani kubwa!
Kwanini mnatumia vitaaluma vyenu kuhadaa watu? Ni kwa faida ya nini au ya Nani?
Kumaliza geology course udom haimaanishi umeshakuwa mgunduzi we jamaa. Unaelewa maana ya ugunduzi? Tena wa eneo? Sasa unakiri kuwa na changamoto ya kukusanya sample na kupeleka maabara alafu unajiita mgunduzi?
Umewahi kusikia maana ya mining exploration? Unajua bajeti zake we jamaa?
Acha kujiweka usipostahili kwa sababu tu watu hawaelewi unachoandika